Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,093
Tarehe kama ya leo miaka 52 iliyopita ardhi ya Tanganyika ilipata baraka kubwa baada ya kupata mtoto aitwae freeman Aikael Mbowe!
Mheshimiwa Mbowe amekuwa na muono wa mbali sana kuhusu taifa hili; amejitolea mwili, nguvu, akili na muda wake kuhakikisha tunaipata 'Tanzania tuitakayo'.
Ameijenga taasisi ya CHADEMA toka zero mpaka sasa ni hero, amegeuza mambo katika siasa za Tanganyika na kwa sasa ni watu wachache wenye matatizo ya akili watapinga kwamba yeye ndiyo 'icon ya siasa'.
Ametukanwa sana, amekejeliwa sana, amepigwa sana, amekoswa na mabomu sana! Hadi katukaniwa mkewe bungeni (Dr. Kigwangalla) Lakini hakuwahi kukata tamaa, hakuwahi kupata taharuki na kulipa kisasi.
Anastahili heshima kubwa, kama mwana JF wa miaka mingi, mimi na wewe tumuombee kwa Mwenyezi Mungu aishi maisha marefu na kuona 'nchi ya ahadi' ingawa yeye kashasema na kuandika katika gari lake, 'nikifa leo msinililie bali nizikeni na endeleeni na mapambano'
Hatutokuangusha jabari letu, there is light at the end of the tunnel!
Mungu ibariki Tanganyika, Mungu ibariki CHADEMA, Mungu mbariki Freeman Aikael Mbowe
Happy b'day M/kiti na KUB

Last edited by a moderator: