Happiness...

I like to be happy always but its impossible...
lakini 75% ya maisha yangu nina furaha
25% nina kosa furaha kutokana na uchovu,magonjwa, huzuni n.k
lakini bado percent ya furaha kwangu bado ni kubwa..
yah Manyanza hivi vingine huwezi vikwepa katika maisha
im happy to hear that ur happy na asilimia inaonyesha unafuraha kiasi gani
 
kuna watu wanaweza sema i'll do anything to make myself/ you happy, huoni kwamba wanaweza fanya lolote ilimradi wawe na furaha,wewe unawachukuliaje watu kama hawa

hilo neno anything sio zuri
binadamu lazima uwe na taboos na ethics...

Mimi nilisema lazima niwe rich,but legally....umenipata?
Ikishindikana legally,basi sio lazima
 
kwa hiyo ule msemo wa kidhungu i'll do anything to make you happy ni kuzuga tu maisha yaende, au sio, na wale wanaotafuta happiness kama ulivosema pale juu nao tutawajaji vipi na akati kiukweli ndio raha yao?
 
hakuna kitu kama kama i will do anything to make you happy..
Ni msemo tu kama shairi...
What if furaha yangu ni wewe ufe?utajiua????

Watu wengi mwisho hujuta...binadamu bila taboo ni kama mnyama...

I will do anything for you kama hakitoki ndani ya principles zangu..
 
Thanks the boss kwa majibu mazuri, kuna watu wanajua kupromiss bwana
yaani eti i'll move the mountains for you khaaaaa
 
Af sipendi promise za uongo, naona baada ya kuwa happy nitakuwa sad, misemo mingine ibaki kwenye nyimbo tu
 
hakuna kitu kama kama i will do anything to make you happy..
Ni msemo tu kama shairi...
What if furaha yangu ni wewe ufe?utajiua????

Watu wengi mwisho hujuta...binadamu bila taboo ni kama mnyama...

I will do anything for you kama hakitoki ndani ya principles zangu..
Huu tunaupenda sana kuusema wakati hatuwezi kuutimiza
 
"I'll Do Anything"

I don't want you, I need you
I don't care for you, I love you
I'll be there for you because of you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
I won't sing for you, I'll belt for you
I won't cry for you, I'll bawl for you
I won't die for you, I'll live for you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
If you want me to stay, then I'll stay
Oh, oh, oh
If you want me to go, I'll go
Ooh, Ooh, Ooh,
Ooh, Ooh, Ooh
I don't care for you, I love you
I don't want you, I need you
I won't kill for you, I'll live for you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
I'll do anything for you, you, you
I'll do anything for you
[repeat]
 
BlackBerry, ni post/ujumbe mzuri unaovutia kujibu.. Welldone!

Re:
Wapendwa wa MMU mmefanya kitu gani mpaka sasa cha kuwafanya muwe wenye furaha muda wote????.... tafakari

Siri ya furaha..ni..
  • Chukulia maisha kuwa ni kitu simple na wala usijaribu ku-complicate issues;
  • Weka vigezo ambavyo unaweza kuviruka na wala usiweke vigezo kufuata upepo; mfano kama unatafuta partner weka kigezo cha 60% kwani hapa duniani kutokana na limitation zetu kama wanadamu hakuna partner wa hata 95%.
  • Kaa kiti cha nyuma kabla hujakaribishwa kiti cha mbele kwani ni vizuri kukaribishwa mbele kuliko kufukuzwa kwenda nyuma..
  • Jifunze machungu ni sehemu ya maisha hivyo hakuna haja ya kupanic yakikukuta..
  • Last but not least.. As a human being, Nobody is perfect!
 
BlackBerry, ni post/ujumbe mzuri unaovutia kujibu.. Welldone!

Re:

Siri ya furaha..ni..
  • Chukulia maisha kuwa ni kitu simple na wala usijaribu ku-complicate issues;
  • Weka vigezo ambavyo unaweza kuviruka na wala usiweke vigezo kufuata upepo; mfano kama unatafuta partner weka kigezo cha 60% kwani hapa duniani kutokana na limitation zetu kama wanadamu hakuna partner wa hata 95%.
  • Kaa kiti cha nyuma kabla hujakaribishwa kiti cha mbele kwani ni vizuri kukaribishwa mbele kuliko kufukuzwa kwenda nyuma..
  • Jifunze machungu ni sehemu ya maisha hivyo hakuna haja ya kupanic yakikukuta..
  • Last but not least.. As a human being, Nobody is perfect!
Yah tulizo, unasound kama happy people, unafanya nini kuhakikisha wapendwa wako wanakuwa na furaha siku zote
 
Back
Top Bottom