hapa sio nyumbani kwetu_.happy saturday to you

binadamu tunajisahau sana kwamba hapa duniani tunapita na kwamba ipo sehemu nyingine tunaelekea.
mfano unakuta mtu yuko ktk vita inayoweza hata kumwaga damu na jirani yake kisa nusu hatua ya mpaka wa kiwanja.
au baba umeshindwa kumsamehe mwanao kwa miaka kisa alishindwa kumaliza shule kwa kupata mimba.
maisha yetu ni mafupi sana hivyo haijalishi u mtu wa dini gani lkn tusiichafue mioyo yetu kwa kuijaza chuki na dhambi kwa mambo ya kidunia yapitayo.
,,,
,,nimejisikia kuwapa kaujumbe haka kama njia ya kuwatakia jmos na mapuziko mema.
:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::b owl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bow l::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl: :bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::b owl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:





SIO TU KAMA DUNIANI SIO NYUMBANI KWETU BALI TUNAPITA KAMA ALIVYOIMBA JIM REEVES, LAKINI PIA MAISHA HAYA TUNAYOISHI SASA SIO MAISHA HALISI. KAMA HIVYO NDIVYO, JE MAISHA YETU HALISI NI YEPI?!
FUNGUA HAPA http://translate.google.co.tz/trans...search?q=This+Life+is+not+our+Real+Life&hl=sw
ILI KUJUA MAISHA YETU HALISI NI YEPI.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom