Hapa nisaidieni wakuu!

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Ebu 'just imagine' wewe ni kijana wa umri wa kati ambaye hujaoa au kuolewa. Una Girlfriend/Boyfriend na katika mazungumzo yenu mna kundi la damu linalofanana. Pamoja na huyu wa ukweli una 'vidumu' kadhaa na kuna stori kitaa kwamba moja kati ya wale uliowahi kujihusisha nao ni HIV+; jambo lililokufanya kuapa kutokupima ukihofia kwamba nawe umekwesha potisivika. Inatokea Boyfriend/Girlfriend wako ana shida ya damu na msaada wako ni wa MUHIMU SANA KUNUSURU MAISHA YAKE. Je, utajitosa kwenda kutoa damu potelea mbali lolote litakalotokea kudhihirisha mapenzi yako kwake au utamkimbia ama kulumbikiza vijisababu?? Wanaojua kupenda naomba munifungue akili.
 
damu nayo ni ya kujiuliza??

Je ingekuwa figo, si unatoa talaka??

Hata ukikimbia, si umeshamhatarisha na yeye?? Kwa nini hukupima mapema ili umlinde huyo wa ukweli??

Hata huyo unayedhani ni wa ukweli , si kweli ni wa uongo ndo maana hukujali kupima ili umlinde.
 
Utaenda kupima kabla ya kutoa, kwani hawatoi damu ambayo haijapimwa na labda wawe na vipimo vizuri ila ile rapid thing sio effective sana hasa kama umeukwaa a week before, na pia kuna hepatisis which dreadfull kama HIV tu.

Huwezi kuacha mwenzio analyfa kwa kuogopa kupima!
 
Kwanza utaratibu wa kuchangia damu, wanakupima hb tu kuangalia kiasi cha damu. Hayo ya hiv wanamalizana nayo huko kwa kupima mara 3 kutoka kwenye pakti. Ukirudi baada ya wiki 3 unapewa majibu kama ukitaka. Hakuna mtu anaewekewa fresh blood. Kulazimisha kuchangia ni kwa ajili ya kuhakikisha benki ina damu ya dharura.

Haya, na uache ukahaba. Na ukapime ili uache kujimulika kama mwizi kila saa, unajitesa!
 
No amount of guilt
can change the past
and
no amount of worrying
can change the future.


kama kweli unampenda...................
 
damu nayo ni ya kujiuliza??

Je ingekuwa figo, si unatoa talaka??

Hata ukikimbia, si umeshamhatarisha na yeye?? Kwa nini hukupima mapema ili umlinde huyo wa ukweli??

Hata huyo unayedhani ni wa ukweli , si kweli ni wa uongo ndo maana hukujali kupima ili umlinde.

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Mbalizi Mbeya.
 
vitu vingine mnajipa presha kwani ungetulia hii tabu ungeipata wapi, mambo mengine ushamba tu
 
damu nayo ni ya kujiuliza??

Je ingekuwa figo, si unatoa talaka??

Hata ukikimbia, si umeshamhatarisha na yeye?? Kwa nini hukupima mapema ili umlinde huyo wa ukweli??

Hata huyo unayedhani ni wa ukweli , si kweli ni wa uongo ndo maana hukujali kupima ili umlinde.

Umenena vyema!
 
I said just imagine if it were you. Of course my status is NEGATIVE, and I ussually contribute my blood to serve life of needy people.
 
Hii nitachangia kesho nikikumbuka, nimechoshwa na vijihoja vya watoto, naenda kulala, alamsik
 
Back
Top Bottom