Hapa kuna safari au tunataniana?

Mbaula mkuu 682,kiboko hii truck haishindwi mzigo,mwendo wa kinyonga lakini inafika
 
Wakuu hiyo kweli; Safari inaanzia West Africa inaishia North Africa.... baadaye kuelekea Ulaya.!!
good luck wafike salama.
 
Inanikumbusha mabomu ya Gongo la Mboto, tulipanda gari kwa mtindo huu.
 
Hao bado wajima huku kwetu Mbagala tumeendelea mbele hatukai tena foleni:
 
Back
Top Bottom