Umeona eeeeh! Kwa kweli tunasafari ndefu sana, hapo akirudi nyumbani ni kutafuta maji ambayo yanapatikana umbali wa zaidi ya kilometa 5, kupika kuosha vyombo, ............ hapo muda wa kujisomea ataupata wapi!huyo mwingine ndio hata viatu hana, hiyo pembeni itakuwa ni biashara ya teacher kuuza icecream au maji ya kunywa.....Tz bado sanaaaa
Machague Dr. Slaa atakuja kuibadilisha within 100daysTumefaulu ndio katika mazingira magumu, lakini hali hii ni ya kuiacha iendelee hivihivi?
Ndo shule zetu, zamani kwa wale tuliosoma enzi za Nyerere kushika masikio ilikuwa ni kitu cha kawaida pale unapokosea na kupewa adhabu. Siku hizi utaambiwa unanyanyasa
Wote tumesoma mazingira kama hayo na bado tumefaulu, kufaulu ni detrmination and focus ya mwanafunzi tu