Hanifa Hamidu "Lady Hanifa"

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Hivi huyu mtangazaji mrembo wa Itv & radio one ameolewa? Nampenda sana natamani nimwoe ila sijui historia yake.
 
atakuwa anamtani huyoo kima..

ha ha ha! nimependa matumizi ya jina lake..ID zingine hizi dah! Kima, MBWA dah!

haya ..hanifa kaolewa na anakaa sinza mori..mbona wa kawaida sana? anaongea as if hajaenda shule sijui namuonaje..kweli watu tuna tofautiana Loh!!!
 
kweli wewe ni Kima mdogo...zile boobs ndo zakupa kiwewe sio??
 
ha ha ha! nimependa matumizi ya jina lake..ID zingine hizi dah! Kima, MBWA dah!

haya ..hanifa kaolewa na anakaa sinza mori..mbona wa kawaida sana? anaongea as if hajaenda shule sijui namuonaje..kweli watu tuna tofautiana Loh!!!

Du jana tu nimemuona kwenye UJENZI ameporomosha mjengo salasala ameamia uko mwaka 2008 amejenga kwa pesa yake mwenyewe sasa hyo sinza inakuaje Tbag ni hatareeee!
 
ha ha ha! nimependa matumizi ya jina lake..ID zingine hizi dah! Kima, MBWA dah!

haya ..hanifa kaolewa na anakaa sinza mori..mbona wa kawaida sana? anaongea as if hajaenda shule sijui namuonaje..kweli watu tuna tofautiana Loh!!!

bora umesema, yani mwanamke yule ni mswahili, kichwani zero, she is not decent nkulingana na maongezi yake, for real mimi huwa sisikilizi kipindi chake maana ni aibu tupu ahh
 
Demu anaongea kizagazaga vile afu mtu anamzimia! Kweli tunatofautiana! Mswazi typical!
 
hakuwahi kweli kuwa mwimbaji wa Bongo Fleva enzi zake?
Amewahi kuimba bongo fleva. Hata hivyo hakufanikiwa sana kwenye fani hiyo. Katoa wimbo mmoja tu unaitwa *Joto* na hajasikika tena kunako fani

Mtafute Dully sykes aka Mr misifa atakua anamjua vizuri dully ndio kamtoa ktk fani.

Sio kweli. Hanifa alianza kufahamika bada ya ITV kuzindua Jackpot Bingo, yeye na wenzake kadhaa, akiwemo muigizaji wa bongo movies Monalisa. Baada ya bingo kuisha ndipo akachukuliwa kama mtangazaji wa kipindi cha muziki pale ITV, akichukua nafasi ya Misanya Bingi. Upo hapo?
 
bora umesema, yani mwanamke yule ni mswahili, kichwani zero, she is not decent nkulingana na maongezi yake, for real mimi huwa sisikilizi kipindi chake maana ni aibu tupu ahh
mmmmhhhhhhh!!!!!!
 
Back
Top Bottom