Hamisi Kigwangalla ana tatizo la Afya ya Akili?

Notorious thug

JF-Expert Member
Dec 29, 2021
2,817
10,594
Twende kwenye mada, Hamis Kingwangala mbunge wa Nzega Vijijini amekua na matukio mengi sana kukosana na watu, kuwatishia na silaha na kuwajeruhi na silaha. Kama mnakumbuka jamaa aliwahi kutishia watu huko Mbarali Mbeya na Bastola kipindi analima Mpunga Mbarali.

Pia aliwahi kuwa na ugomvi mkubwa na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe baadaye Hayati Magufuli aliwapatanisha. Alipokua Waziri wa Maliasili na Utaliii alikua na Ugomvi mkubwa na Katibu wake Damas Ndumbaro pia amewahi kua na ugomvi na Miss Tanzania namba mbili baada ya kuzaa nae na kumtekeleza na mtoto.

Pia alikuwa na Ugomvi na Dewji baada ya kuomba mkopo kwa Dewji na kukosa. Juzi kati hapa kuna tetesi kajeruhi mtu na Bastola. Ni muda sasa Hamis Kigwangala ajitafakari na kama ikiwezekana aone wataalamu apimwe na kama analo kweli tatizo apate matibabu kabla hajaleta madhara au kujidhuru.

EhtOP04X0AImhEQ.jpg
 
Back
Top Bottom