Halwa

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Jamani kwenye birthday yangu 14/3/2011 moja kati ya zawadi nilizo pewa ni inaitwa halwa!!!!

Noamba anaejua inasaidia nini maana huwa naisikia kwa watu wa pwani na sijui ni nani alinipa maana ni zawadi nyingi tu zilikuwa
 
Halwa utengenezwa kutokana na mchanganyiko wa unga wa ngano na sukari,watu wa zenji hupenda kuitumia pamoja na kahawa hasa nyakati za jioni!
 
hebu waite tena woote walioleta zawadi af uliza mmopja baada ya mwingine ukimpata ndo muulize maana yake
 
Huyo aliyekuzawadia ni mwanamke au mwanamume? Ikiwa ni mwanamke mtupie jicho, unaweza ukala "halwa" yake. Ikiwa ni mwanamume chunga sana. Wazenji kwa tIgO waogope na "halwa" ni ishara moja. Hujawahi kusikia "kijana yule ni halwa?"
 
Hapo sasa ndo kazi kujua nani kaileta
 
Huyo aliyekuzawadia ni mwanamke au mwanamume? Ikiwa ni mwanamke mtupie jicho, unaweza ukala "halwa" yake. Ikiwa ni mwanamume chunga sana. Wazenji kwa tIgO waogope na "halwa" ni ishara moja. Hujawahi kusikia "kijana yule ni halwa?"
Mhhhhhh!
Humu JF mnajua tafsiri.....japo sijahitaji ntoke nje ya mada.
Andazi nalo nini maana yake? Na lenyewe ni ishara ya nini?
Halwa=utam mwingi.
Hicho ni kiarabu.
Dessert=utam.
Kidhungu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom