Halmashauri ya Kinondoni yatenga 100million kushonea majoho

Deus F Mallya

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
705
440
Utafiti wa ki document unaendelea kufanywa kuthibitisha kuwa Halmashauri ya Kinondoni imekuwa ikitenga 100Million kila mwaka kwa ajili ya kushonea majoho na 95millioni kwa ajili ya Ulinzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo.

My take: Imekuwa ni kawaida sana kwa halmashauri kutumia kwa kufuru fedha badala ya kuelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.

Kwa hali hii bado Madiwani wengi ni ama hawana uwezo wa kuwawakilisha wananchi kwa standard au hawana uelewa wa kutosha kuchambua vitabu vya budget kikamilifu.
 
madiwani.JPG

Joho for 100M. they must be crazy aise??
 
mimi nashindwa kuilewa hii halmashauri ya kinondoni imejaza wasomi kibao lakini mambo yake ya hovyo kabisa... toka safu ya uongozi wa kiutendaji mpaka kwa wawakilishi wa wananchi mambo ni hovyo hovyo sijui tatizo ni nini.........
 
Hivi majoho ya mchango gani katika kujenga hoja na kuwakilisha wananchi? maendeleo nayo vipi? Nahisi in the near future hata wabunge watataka majoho wawapo mjengoni, maana mtaji wake si haba!! KUPANGA NI KUCHAGUA (na kuweka VIPAUMBELE)
 
mimi nashindwa kuilewa hii halmashauri ya kinondoni imejaza wasomi kibao lakini mambo yake ya hovyo kabisa... toka safu ya uongozi wa kiutendaji mpaka kwa wawakilishi wa wananchi mambo ni hovyo hovyo sijui tatizo ni nini.........
Kujaza "WASOMI" sio tija mkuu. Tija ni weledi na utendaji uliotukuka. Kuna msemo huwa unasema "Wasomi ni Chakula ya Wanasiasa" nafikiri umeshausikia. Umeuliza haujui TATIZO NI NINI? Tatizo ni sisi Watanzania wapiga kura tunaowachagua hao so called "Wasomi" kutuwakilisha na kuleta Maendeleo katika jamii,lakini wakiingia kushika hizo nafasi ndio hivyo wanajiwekea Bajeti za MAJOHO TSHs 100,000,000/ wakati barabara Kama ya Mwananyamala hospital na nyinginezo ziko wa zimejaa mahandaki (mashimo) sugu.
Tafakari.
 
Kwanza hii fashion ya majoho kwa madiwani sijui aliileta nani,upuuzi tu.
 
MziziMkavu usijiue na presha bure. Hiyo pesa mbona ni kidogo kama tutachimba vilivyo kwenye moyo wa ufisadi wa taifa letu. Kinachokera ni kwamba hiyo pesa inatumiwa na nchi ombaomba ambayo rais wake ameishadhalilika vya kutosha kwa kubomu.
 
Kama nakumbuka sawasawa mara ya kwanza nilisikia hii habari Radio Wapo, ambapo madiwani wa Chadema walikuwa wanalalamika kuwa walipotaka kukwamisha bajeti ya halmashauri walishindwa na madiwani wa CCM ambao ni wengi. Radioni madiwani hao (Kama sikosei mmoja ni wa Kimara) walidai, moja ya mambo waliyokuwa wanapinga ni gharama za kushona majoho ya madiwani na mkufu wa meya ambavyo bajeti ilitengwa shilingi bilioni moja.
 
Kwani Dar hakuna RC awazuie kama yule wa Kilimanjaro alivyozuia ziara ya madiwani kwenda kutalii Kigali
Utafiti wa ki document unaendelea kufanywa kuthibitisha kuwa Halmashauri ya Kinondoni imekuwa ikitenga 100Million kila mwaka kwa ajili ya kushonea majoho na 95millioni kwa ajili ya Ulinzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo.

My take: Imekuwa ni kawaida sana kwa halmashauri kutumia kwa kufuru fedha badala ya kuelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.

Kwa hali hii bado Madiwani wengi ni ama hawana uwezo wa kuwawakilisha wananchi kwa standard au hawana uelewa wa kutosha kuchambua vitabu vya budget kikamilifu.
 
Mbona mnapiga kelele hii ni ela ndogo sana sana huku meatu mwaka jana tulitumia zaidi ya hio!
 
Utafiti wa ki document unaendelea kufanywa kuthibitisha kuwa Halmashauri ya Kinondoni imekuwa ikitenga 100Million kila mwaka kwa ajili ya kushonea majoho na 95millioni kwa ajili ya Ulinzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo.

My take: Imekuwa ni kawaida sana kwa halmashauri kutumia kwa kufuru fedha badala ya kuelekezwa kwenye miradi ya maendeleo.

Kwa hali hii bado Madiwani wengi ni ama hawana uwezo wa kuwawakilisha wananchi kwa standard au hawana uelewa wa kutosha kuchambua vitabu vya budget kikamilifu.
Kwa elimu ipi waliyonayo ya kufanya hivyo?
 
Kwanza hii fashion ya majoho kwa madiwani sijui aliileta nani,upuuzi tu.
Wakivaa nguo zao za kawaida wanapokutana inapunguza nn? ndio tatizo letu, watu wakipata kanafasi kidogo wanataka recognition ili wapewe kaheshima flani hivi. Hawajui heshima inakuja kwa kazi nzuri bila hata kui-force kwa kuvaa majoho. Bado tuna mengi ya kufanya amabayo yangetimia au walau yangepungua kwa kutumia hyo mil.100
 
Hili tatizo lipo kila sehemu, kuna ambao wamesema hizo hela ndogo ila wanachotakiwa kuelewa kwamba unachotakiwa kuangalia ni value for money na ukibana kila kona mwisho wa siku tutakuwa na hela nyingi za maendeleo. Matatizo haya yapo hata katika mashule yaani mwanafunzi akiingia shule unaambiwa ela ya dawati na panga au jembe na kila mwaka wanaingia wapya na vitu na kila mwaka wanamaliza hawaondoki na kitu
 
Kujaza "WASOMI" sio tija mkuu. Tija ni weledi na utendaji uliotukuka. Kuna msemo huwa unasema "Wasomi ni Chakula ya Wanasiasa" nafikiri umeshausikia. Umeuliza haujui TATIZO NI NINI? Tatizo ni sisi Watanzania wapiga kura tunaowachagua hao so called "Wasomi" kutuwakilisha na kuleta Maendeleo katika jamii,lakini wakiingia kushika hizo nafasi ndio hivyo wanajiwekea Bajeti za MAJOHO TSHs 100,000,000/ wakati barabara Kama ya Mwananyamala hospital na nyinginezo ziko wa zimejaa mahandaki (mashimo) sugu.
Tafakari.
Hakuna mwizi mbaya kama aliyesoma!!! shukurani kwa useful post mkuu!!
 
Back
Top Bottom