Halmashauri ya Jiji la Arusha chini ya CHADEMA Miradi inayokaribia kutekelezwa baada ya mvua kuisha

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA.

KAZI ZA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA Tsh 24,011,700,389.16/=

• Ujenzi wa Barabara ya Oljoro - Murriet kwa kiwango cha Lami (3.2km)

• Barabara ya Njiro (2.5 km)

• Ujenzi wa Barabara ya Krokon kiwango cha Lami (0.64 km)

• Ujenzi wa Barabara ya SOMBETINI - FFU kiwango cha Lami (1.85km)

• Ujenzi wa Barabara za Ngarenaro kiwango cha Lami (4.6km)

• Ukarabati wa Kiwanja cha Mpira S/Msingi Ngarenaro

• Ujenzi wa eneo la kutupa taka dampo la Murriet na uwekaji wa Skip Pads.

• Uwekaji alama Barabarani kuainisha maeneo ya maegesho ya magari

Miradi hii ni ya Tanzania Strategic Cities Project (TSCP) chini ya World Bank ambayo utekelezaji wake utaanza punde baada ya mvua kumalizika.

OFISI YA MSTAHIKI MEYA
HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA
S.L.P 3013
ARUSHA - TANZANIA
 
msiamamie vizuri hii miradi ni ya wananchi wote wa jiji la arusha, epukeni longolongo msije mkakosa kupewa hela ya kuendelea na awamu zingine za mradi huu,si mnajua wazungu hawanaga longolongo,mkizileta madudu mtakosa pesa
 
HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA.

KAZI ZA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA Tsh 24,011,700,389.16/=

• Ujenzi wa Barabara ya Oljoro - Murriet kwa kiwango cha Lami (3.2km)

• Barabara ya Njiro (2.5 km)

• Ujenzi wa Barabara ya Krokon kiwango cha Lami (0.64 km)

• Ujenzi wa Barabara ya SOMBETINI - FFU kiwango cha Lami (1.85km)

• Ujenzi wa Barabara za Ngarenaro kiwango cha Lami (4.6km)

• Ukarabati wa Kiwanja cha Mpira S/Msingi Ngarenaro

• Ujenzi wa eneo la kutupa taka dampo la Murriet na uwekaji wa Skip Pads.

• Uwekaji alama Barabarani kuainisha maeneo ya maegesho ya magari

Miradi hii ni ya Tanzania Strategic Cities Project (TSCP) chini ya World Bank ambayo utekelezaji wake utaanza punde baada ya mvua kumalizika.

OFISI YA MSTAHIKI MEYA
HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA
S.L.P 3013
ARUSHA - TANZANIA
Asante kwa mrejesho huu, vipi kuhusu miradi ya maji? nakumbuka mkuu wa mkoa aliyetangulia nilimsikia akihojiwa na TBC kuwa jiji lilikuwa na bil 3 za miradi ya maji, ila hadi leo hii sijaona kinachoendelea...
 
1. Hii barabara ya njiro (2.5 km ) ni ipi?
2. Je jiji lina mpango gani na barabara ya unga limited kupitia engosheratoni kwenda kuungana na barabara mpya ya uswahili inayokwenda dampo la murieti?
3. Je kuna mpango gani kuhusu uendelezi wa ujenzi wa barabara ya mianzini kwenda juu na barabara ya sanawari kwenda sanawari ya juu?
4. Je kuna mpango gani na barabara inayopita kati ya bank ya stanbic na NBC kupitia baa ya maaofisa wa police kuungana na barabara ya Arusha school?
5.Je kuna mpango gani na ujenzi kwa kiwango cha lami barabara ya kijenge juu kwenda kuungana na barabara kuu ya moshi arusha.
 
Uzuri wa huyu meya wa Arusha anafanya siasa za ushindani wa kimaendeleo.
Kila mmoja anafahamu hii miradi ya kuboresha majiji nchini haijaanza leo...hivyo wa kupewa sifa ni CCM.

Nawashangaa vinyago vya mpapure vinavyotaka kuandamana kwenda world bank ili tunyimwe fedha kwa ajili ya miradi hii...
 
1. Je mpango wakufufuliwa kwa kiwanda cha general tire bado upo? kama la je jiji lina mpango gani wa kubadilisha matumizi ya majengo yale kuwa shule au hosptal au kuwekeza kwenye aina nyingine ya kiwanda ili kuwa faida kwa wananchi wa jiji la Arusha badala ya majengo yale kukaa miaka mingi bure?

2. Soko la samunge lilijengwa kama soko la dharura kwa wakati ule, je jiji limeamua kuwa liwe soko la kodumu? na je jiji linampango gani wa kulibadilisha ili liwe la kisasa ili kukidhi hadhi ya jiji maana soko hili linatia aibu jinsi lilivyo.

3. Nini mpango wa jiji kuhamisha stand kubwa ya mabasi kwaajili ya ufinyu wa eneo la sasa, je mpango ulowahi kuwepo bado upo?

4. Jiji linampango gani katika kubadili matumizi ya makaburi ya zamani yaliyo mkabala na uwanja wa mpira na standi kubwa?
 
Maswali nondo sana haya kwa wakazi wa jiji la Arusha...Ila siungi mkono kuhamisha yale makaburi...kale kasehemu ni kadogo na hakawezi kuwekewa mradi wowote mkubwa na wenye tija for the expence ya marehemu.
Mji ujijenge nje ya mji zaidi kuliko kucongest kaeneo kadogo.

Pia usisahau kuulizia ujenzi wa eneo yalipokuwa Maghorofa ya Kaloleni ...nini kinaendelea?Yaani watu walivunjiwa kwa mbwembwe sasa pamebaki bila mradi wowote na kuwa ni malazi ya vibaka
 
HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA.

KAZI ZA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA Tsh 24,011,700,389.16/=

• Ujenzi wa Barabara ya Oljoro - Murriet kwa kiwango cha Lami (3.2km)

• Barabara ya Njiro (2.5 km)

• Ujenzi wa Barabara ya Krokon kiwango cha Lami (0.64 km)

• Ujenzi wa Barabara ya SOMBETINI - FFU kiwango cha Lami (1.85km)

Ujenzi wa Barabara za Ngarenaro kiwango cha Lami (4.6km)

• Ukarabati wa Kiwanja cha Mpira S/Msingi Ngarenaro

• Ujenzi wa eneo la kutupa taka dampo la Murriet na uwekaji wa Skip Pads.

• Uwekaji alama Barabarani kuainisha maeneo ya maegesho ya magari

Miradi hii ni ya Tanzania Strategic Cities Project (TSCP) chini ya World Bank ambayo utekelezaji wake utaanza punde baada ya mvua kumalizika.

OFISI YA MSTAHIKI MEYA
HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA
S.L.P 3013
ARUSHA - TANZANIA

Ngarenaro ipi hiyo.....?....mbona hawajasema hii barabara mto yetu ya Sakina white rose jamaniiiiii........
 
Maswali nondo sana haya kwa wakazi wa jiji la Arusha...Ila siungi mkono kuhamisha yale makaburi...kale kasehemu ni kadogo na hakawezi kuwekewa mradi wowote mkubwa na wenye tija for the expence ya marehemu.
Mji ujijenge nje ya mji zaidi kuliko kucongest kaeneo kadogo.

Pia usisahau kuulizia ujenzi wa eneo yalipokuwa Maghorofa ya Kaloleni ...nini kinaendelea?Yaani watu walivunjiwa kwa mbwembwe sasa pamebaki bila mradi wowote na kuwa ni malazi ya vibaka
serikali ya ccm ndio walivunja
 
Ngarenaro ipi hiyo.....?....mbona hawajasema hii barabara mto yetu ya Sakina white rose jamaniiiiii........
mwakilishi wa mwanahabari huru aliyoko jijini Arusha aliuliza ili swali nayo ipo kwenye mpango
 
HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA.

KAZI ZA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA Tsh 24,011,700,389.16/=

• Ujenzi wa Barabara ya Oljoro - Murriet kwa kiwango cha Lami (3.2km)

• Barabara ya Njiro (2.5 km)

• Ujenzi wa Barabara ya Krokon kiwango cha Lami (0.64 km)

• Ujenzi wa Barabara ya SOMBETINI - FFU kiwango cha Lami (1.85km)

• Ujenzi wa Barabara za Ngarenaro kiwango cha Lami (4.6km)

• Ukarabati wa Kiwanja cha Mpira S/Msingi Ngarenaro

• Ujenzi wa eneo la kutupa taka dampo la Murriet na uwekaji wa Skip Pads.

• Uwekaji alama Barabarani kuainisha maeneo ya maegesho ya magari

Miradi hii ni ya Tanzania Strategic Cities Project (TSCP) chini ya World Bank ambayo utekelezaji wake utaanza punde baada ya mvua kumalizika.

OFISI YA MSTAHIKI MEYA
HALMASHAURI YA JIJI ARUSHA
S.L.P 3013
ARUSHA - TANZANIA
Hongera meya hongera sana kwa Mara ya kwanza nasikia meya wa chadema akiongelea maendeleo nakala ziwafikie mameya wote wa chadema na wabunge akina Tundu Lisu,Lena,,Sugu,Msigwa,Heche,Lijuakali nk pia nakala imfikie Zito Kabwe
 
Chakunishangaza miaka nenda rudi barabara ya kwenda uwanja wa ndege arusha ni vumbi inayoambata na mashimo.
 
Habari hizi zimfikie yule aliesema kaskazini hakutakua na miradi mipya,namcheka kwa dhereu hiiiiii
 
Bravo Arusha - Bravo CDM; Bravo chief of Arusha...tunakukubaki Rais wetu wa jiji
 
1. Hii barabara ya njiro (2.5 km ) ni ipi?
2. Je jiji lina mpango gani na barabara ya unga limited kupitia engosheratoni kwenda kuungana na barabara mpya ya uswahili inayokwenda dampo la murieti?
3. Je kuna mpango gani kuhusu uendelezi wa ujenzi wa barabara ya mianzini kwenda juu na barabara ya sanawari kwenda sanawari ya juu?
4. Je kuna mpango gani na barabara inayopita kati ya bank ya stanbic na NBC kupitia baa ya maaofisa wa police kuungana na barabara ya Arusha school?
5.Je kuna mpango gani na ujenzi kwa kiwango cha lami barabara ya kijenge juu kwenda kuungana na barabara kuu ya moshi arusha.
Hapo namba mbili nakuunga mkono njia ya kwenda engosheraton hadi dampo ni mbovu ajabu bora wangeiacha ile ya morombo au ngarenaro wakakarabati hii.
Hiyo ya sanawari ya juu nadhani itafuata coz hii ya mianzini timolo imejengwa tayari.
 
Back
Top Bottom