Halmashaui ya wilaya ya Kibaha inagawa viwanja ole wao wachakachue

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Wadau kwa walio na taarifa za viwanja vya Mlandizi tujulishane, Square mit bei gani?? kuna uwezekano wa kupata au ndo uchakacuaji wa kuchua pesa zetu.
Kwa wataalamu tuambiane na bei za fomu. Nimeambiwa tangazo limetoka ITV
 
Viwanja vilivyotangazwa bei ni 3500 per square meter na hakuna uchakachuaji kwa kuwa ugawaji wenyewe wa viwanja ni wa mtu binafsi isipokuwa ameingia ubia na halmashauri ili kualalisha ugawaji huo kwa iyo nenda tu pesa yako iseeee
 
Shukrani mkuu maana Itv wametangaza mara 2000 mara 35000 ngoja tuone tukienda na cash kama tutapewa
 
Wadau kwa walio na taarifa za viwanja vya Mlandizi tujulishane, Square mit bei gani?? kuna uwezekano wa kupata au ndo uchakacuaji wa kuchua pesa zetu.
Kwa wataalamu tuambiane na bei za fomu. Nimeambiwa tangazo limetoka ITV

Mdau umeweza kufuatilia kuhusu kiwanja?Naona bado vinatangazwa na napanda kupata uhakika kama bado vipo
 
Back
Top Bottom