dondezel
Member
- Jan 14, 2012
- 9
- 0
Mh!Mdee...imani yetu iko kwako pia hasa katika kuikumbusha Mamlaka husika,kwa uwajibikaji kwa viongozi juu ya umma...ili sheria itende haki kwa kila raia.Huo ndio uwajibikaji. Kaza buti Mdee
Mh!Mdee...imani yetu iko kwako pia hasa katika kuikumbusha Mamlaka husika,kwa uwajibikaji kwa viongozi juu ya umma...ili sheria itende haki kwa kila raia.Huo ndio uwajibikaji. Kaza buti Mdee
Tanzania si nchi rahisi kuiongoza kama mzaniavyo, hata CHADEMA wakipewa nchi kuna mambo watashindwa kutia pua zao. watabaki kuja na misamiati kuliko ya hawa
Hivi Prof.Tibaijuka ni Prof. wa nini?
Ulitoka lini Mirembe?
**** so to speak!Magwanda kwa kurukia maamuzi ya chama tawala na kuzifanya ni hoja zao, hawajambo.
Maamuzi na matangazo ayatowe Tibaijuka, wewe uje na kujidai hoja ni yako na kumtaka waziri awajibike. Hivi huna hoja ya maana?