Hali ya hewa kuwa mbaya

Mpuuzi hana hela ya xmas,
famly inamgas, kaona bora aje JF apunguze stress!
he deserve f**k thru his ass!
 
Mwaka ulikuwa unaisha haujaanzisha thread hata moja ndio akaamua kuja na HAYA MATAPISHI!
 
mbona kesho ya jana (leo) imefika lakini huo upepo na mawimbi hatuvioni? watabiri wa hali ya hewa wa TMA ni kama waganga wa kienyeji--waongo na wanafiki wakubwa!
 
Je Krismasi ndio siku maalumu ya kutembelea fukwe??? Pole! Naona ullipanga kwenda kuangalia vyupi vya watu, hasa walilewa pombe, mapenzi. Fukwe zote zifungwe, tahadhari itolewe. Kuna watu lwenye uwezo wa Daraja la Tano, wasijekwenda.
uwezo wako wa kuwaza umeishia hapo sio kamanda?
 
huo ni utabiri tu yaweza kutokea au kuto kutokea ni utabiri tu lakin cha msingi chukuwa tahadhali,CHEZA SALAMA
 
mi nilijua utazungumzia habari ya kukamatwa kwa watu watatu waliokuwa wakisafirisha madawa ya kulevya kwa kupitia maiti huko morogoroo? kweli umevurugwa
 
Dr slaa umeanza kuharibu vijana baada ya kuwaahidi gongo kuwa itakuwa halali sasa wameihalalisha, kama pinda alivyoruhusu polisi kupiga watu na polisi wakatekeleza ktk oparesheni ya majangili
 
Back
Top Bottom