habr ndg zangu,nisaidieni kutopata hedhi leo ni siku ya 56,nimeshapima ujauzito kwa kutumia hcg yaan urine test ziadi ya mara tatu na leo nimetest hamna kitu licha ya mwanzoni nilipata kuumwa na chuchu,kichwa nikajua nimeconcive lakin wapi,labda nieleze nilipewa dawa za ovulation kwa ajili ya kuconcieve na tangia nimeze zile dawa ndo kutokupata hedhi mpaka leo na mwanzoni nilikuwa napata baada ya siku 18,doctor alinipa dawa ziitwazo clomi plan,adi leo cjapata hedhi na nikipima cna ujauzito,nisaidieni ndg zangu wenye mapenzi mema,nawasilisha kwenu