Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,134
- 144,635
Ameandika Zitto Kabwe,
Mikopo ya ndani iliyotolewa na mabenki imepungua kwa asilimia 3.5 mwaka 2017 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 2.5 mwaka 2016, hii ikichangiwa na kupungua kwa mikopo kwa serikali kuu kutoka kwenye mabenki (Ripoti ya Benki Kuu robo ya 4 ya mwaka)
Sekta mbili zinazoongoza kwa ukuaji (Ujenzi na Usafirishaji) kwenye robo ya mwisho ya mwaka, zilikuwa na ukuaji hasi wa mikopo inayochukuliwa benki
Mikopo inayotolewa kwa sekta ya kilimo pia ilishuka kwa asilimia 5. Hii inaonyesha kuwa na uchumi usioeleweka kwa mwaka 2016 lakini ukichanganya zaidi mwaka 2017
Sekta mbili zinazochangia zaidi fedha za kigeni ndio ilikuwa imeathiriwa zaidi kwa kukosa mikopo. Katika robo ya mwisho ya mwaka mikopo katika sekta ya utalii iliporomoka kwa asilimia 33.5! Sekta ya pili kwa kuingiza fedha za kigeni, uchimbaji wa madini ilishuka kwa asilimia 14.8, na sekta muhimu ya usafirishaji mikopo ilishuka kwa asilimia 18.6
Kwa report kamili ya BOT ya robo ya nne ya mwaka inayosihia December 2017 utaisoma kupitia hii linki hapa chini:
https://t.co/mDL58xoiK0?amp=1
===============
Domestic credit by the banking system contracted by 3.5 percent in 2017 compared to a growth of 2.5 percent in 2016 following shrinkage in net credit to the central government from the banking system. ( BoT report Q4)
Two sectors with highest growth rates ( Construction and Transport) in Q4, had the negative growth in credit from banks. Another negative credit growth was agriculture ( -5% ). This tells a a confusing economy Tanzania has experienced in 2016 but even more in 2017, see next
The sector generating largest share of foreign currency in the economy was hit most by lack of credits. In Q4 credit growth into tourism sector was -33.5%! Second largest forex earner mining -14.8% and the most strategic sector Transport -18.6%.