Hali haiwezi kuwa njema CCM!

Masopakyindi, ni wewe uliyeandika haya au kuna mtu kaiba password yako? Kama ni wewe kweli, basi kuna namna. Vipi coffers za Lumumba zimekauka nini? Hamjalipwa book 7 zenu kwa kipindi kirefu? Hata book 7 mwenzako juzi (Willy Malecela) alikuja na uzi wa kuikandia CCM hapa.

No there is something missing somewhere!!!!!

Tiba

Anaonekana kama ameokoka huyu.Inabidi kumpa moyo.
 
Matukio ya kisiasa tunayoyashuhudia yanaendelea kukidhoofisha chama mbele ya wanachama wake.
Kimsingi kwa sasa chama cha mapinduzi, chama tawala inaelekea kinaendeshwa bila kuweka maanani hali halisi ya wananchama wake , wengi wao wakiwa wa hali ya chini.

Pamoja na ukweli kuwa CCM ndio imetoa viongozi wanaoendesha nchi, viongozi hao aidha wamelewa madaraka au kwa makisudi kutotilia maanani mawazo na matakwa ya wanachama.

Yanayoshuhudiwa sasa ni viongozi wenyewe ndani ya chama kupigana vijembe vya nguvu, kwa maslahi binafsi.
Bifu kati ya wenyeviti wa mikoa , hususan kati ya Msindai mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na "Msukuma" mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, ni ushahidi tosha kuwa CCM sasa mambo ni ubinafsi kwanza, chama baadaye.
Wote wanaongoza makundi yanayo shabikia pande tofauti katika uchaguzi mkuu ujao.

La pili, hili la Rasimu ya Katiba Mpya , inaelekea chama hakiko pamoja na wananchi, chama kina msimamo wa viongozi wake , kubebana, na si kwa maslahi ya nchi.
CCM kwa miongo kadhaa imeshindwa kutatua kero za muungano, na kushindwa huko kumewezesha CUF kupata umaarufu na hatimaye kushinikiza Zanzibar, kama nchi, kuanza mchakato wake ulibadili katiba yake.
Haya yote yalifanyika , na CCM ikawa mtazamaji tu wakati Katiba Mama ya Muungano ikiwa imeanza kukosa uhalali wake.

CCM wakuwa kama sikio ambalo halisikii dawa, na kwa makosa wanamshambulia Warioba ambaye kimsingi ni kama kioo cha matakwa ya wananchi.
Kioo kimeonyesha kile wananchi wanachotaka, CCM haipendi kile wananchi wanachotaka!!!

Tatu ni hili la Kinana , Katibu Mkuu wa CCM na Katibu uenezi wa CCM kupita mikoani kukusanya kero za wananchi.
Kero hizo zilipelekwa hadi Kamati Kuu ya CCM nawengi wetu tulifikiri CCM ina meno!!!
La hasha CCM meno hakuna siku hizi na Kinana na NNape inabidi watafute shimo la kuweka sura zao, hasa baada ya maneno makali ya kuitikisa serikali katika utendaji wake usiofaa, hasa katika elimu, kilimo.

Sasa hivi CCM ni kama mahali pa talk show tu, nothing serious hapo.
Kwa hali hii CCM haiwezi kuwa na mustakabali mwema hasa kwa kuanza vibaya mwaka 2014!
Ni maoni tu.
Kwanza ni nani kaiba password yako? sitegemei thread kama hii kutoka kwako
 
Chama kimeshindwa kuisimamia serikali yake na sasa Mkiti ameamua kukidharau chama chake na chama hakina meno tena ...ila najiuliza ni kwanini inapotokea Mkiti akafanya mazuri jumuhia za chama umpongenza haraka lakini akiharibu kama hivi alivyodharau chama chake hatuoni matamko tena? si UVCCM wala UWT waliomkemea JK kwa kukidharau chama na kuwatunishia misuri

Tafakari! CCM tunataka tamko lenu katika hili vinginevyo serikali imewashinda kutokana na udhaifu wa chama chenu
 
Matukio ya kisiasa tunayoyashuhudia yanaendelea kukidhoofisha chama mbele ya wanachama wake.
Kimsingi kwa sasa chama cha mapinduzi, chama tawala inaelekea kinaendeshwa bila kuweka maanani hali halisi ya wananchama wake , wengi wao wakiwa wa hali ya chini.

Pamoja na ukweli kuwa CCM ndio imetoa viongozi wanaoendesha nchi, viongozi hao aidha wamelewa madaraka au kwa makisudi kutotilia maanani mawazo na matakwa ya wanachama.

Yanayoshuhudiwa sasa ni viongozi wenyewe ndani ya chama kupigana vijembe vya nguvu, kwa maslahi binafsi.
Bifu kati ya wenyeviti wa mikoa , hususan kati ya Msindai mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na "Msukuma" mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, ni ushahidi tosha kuwa CCM sasa mambo ni ubinafsi kwanza, chama baadaye.
Wote wanaongoza makundi yanayo shabikia pande tofauti katika uchaguzi mkuu ujao.

La pili, hili la Rasimu ya Katiba Mpya , inaelekea chama hakiko pamoja na wananchi, chama kina msimamo wa viongozi wake , kubebana, na si kwa maslahi ya nchi.
CCM kwa miongo kadhaa imeshindwa kutatua kero za muungano, na kushindwa huko kumewezesha CUF kupata umaarufu na hatimaye kushinikiza Zanzibar, kama nchi, kuanza mchakato wake ulibadili katiba yake.
Haya yote yalifanyika , na CCM ikawa mtazamaji tu wakati Katiba Mama ya Muungano ikiwa imeanza kukosa uhalali wake.

CCM wakuwa kama sikio ambalo halisikii dawa, na kwa makosa wanamshambulia Warioba ambaye kimsingi ni kama kioo cha matakwa ya wananchi.
Kioo kimeonyesha kile wananchi wanachotaka, CCM haipendi kile wananchi wanachotaka!!!

Tatu ni hili la Kinana , Katibu Mkuu wa CCM na Katibu uenezi wa CCM kupita mikoani kukusanya kero za wananchi.
Kero hizo zilipelekwa hadi Kamati Kuu ya CCM nawengi wetu tulifikiri CCM ina meno!!!
La hasha CCM meno hakuna siku hizi na Kinana na NNape inabidi watafute shimo la kuweka sura zao, hasa baada ya maneno makali ya kuitikisa serikali katika utendaji wake usiofaa, hasa katika elimu, kilimo.

Sasa hivi CCM ni kama mahali pa talk show tu, nothing serious hapo.
Kwa hali hii CCM haiwezi kuwa na mustakabali mwema hasa kwa kuanza vibaya mwaka 2014!
Ni maoni tu.
Ulembwike gwakukaja? Hakika tumeanza mwaka huu vizuri, yaani leo kuwadi mkubwa wa ccm umeamua kujitoa mhanga hivi. Nakupongeza sana kwa kuungana nasi tulioyaona mapema madudu ya maccm wenzio. Hata hivyo kama ulivyosema ccm ni sikio la kufa... lakini mbaya zaidi ccm ina kansa ambayo uwezekano wa kupona kwake sote tunajua. Ni suala la wakati, tusubiri.......
 
Maso, huo ndio ukweli na pia ndio hali halisi ya CCM kwa zaidi ya muongo mmoja sasa. CCM iko detached na wananchi, badala yake imekuwa attached na viongozi na "wawekezaji" (sisi wananchi tunawajua kwa majina ya mafisadi, maharamia, majambazi nk).

Ila lazima umma wa wananchi twende hatua moja zaidi ya kuchukia na kulalamika kuhusu uozo wa CCM. Tuchukue hatua na kuwatoa madarakani kisha tuwaweke wengine; ambao tutakuwa na nguvu ya kuwasimamia na kuwawajibisha.
 
Ama kweli ccm ndiyo mwisho kabisa,yaani MASOPAKYINDI hata yeye kastuka kuwa ccm ni gari lisilo na break na lipo mteremkoni,amua uruke ama ufe nalo au uone mwisho wake utakuwa nini. Hebu watonye na akina Simiyu yetu,Six gates,Ze Macopolo na washenzi wengine wanaojifanya vichwa ngumu maana Willy naye kaanza kujitambua. Mungu mkubwa kwa kumrudisha kundini Hapa CHADEMA Huyu Masopakyindi.
 
Matukio ya kisiasa tunayoyashuhudia yanaendelea kukidhoofisha chama mbele ya wanachama wake.
Kimsingi kwa sasa chama cha mapinduzi, chama tawala inaelekea kinaendeshwa bila kuweka maanani hali halisi ya wananchama wake , wengi wao wakiwa wa hali ya chini.

Pamoja na ukweli kuwa CCM ndio imetoa viongozi wanaoendesha nchi, viongozi hao aidha wamelewa madaraka au kwa makisudi kutotilia maanani mawazo na matakwa ya wanachama.

Yanayoshuhudiwa sasa ni viongozi wenyewe ndani ya chama kupigana vijembe vya nguvu, kwa maslahi binafsi.
Bifu kati ya wenyeviti wa mikoa , hususan kati ya Msindai mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na "Msukuma" mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, ni ushahidi tosha kuwa CCM sasa mambo ni ubinafsi kwanza, chama baadaye.
Wote wanaongoza makundi yanayo shabikia pande tofauti katika uchaguzi mkuu ujao.

La pili, hili la Rasimu ya Katiba Mpya , inaelekea chama hakiko pamoja na wananchi, chama kina msimamo wa viongozi wake , kubebana, na si kwa maslahi ya nchi.
CCM kwa miongo kadhaa imeshindwa kutatua kero za muungano, na kushindwa huko kumewezesha CUF kupata umaarufu na hatimaye kushinikiza Zanzibar, kama nchi, kuanza mchakato wake ulibadili katiba yake.
Haya yote yalifanyika , na CCM ikawa mtazamaji tu wakati Katiba Mama ya Muungano ikiwa imeanza kukosa uhalali wake.

CCM wakuwa kama sikio ambalo halisikii dawa, na kwa makosa wanamshambulia Warioba ambaye kimsingi ni kama kioo cha matakwa ya wananchi.
Kioo kimeonyesha kile wananchi wanachotaka, CCM haipendi kile wananchi wanachotaka!!!

Tatu ni hili la Kinana , Katibu Mkuu wa CCM na Katibu uenezi wa CCM kupita mikoani kukusanya kero za wananchi.
Kero hizo zilipelekwa hadi Kamati Kuu ya CCM nawengi wetu tulifikiri CCM ina meno!!!
La hasha CCM meno hakuna siku hizi na Kinana na NNape inabidi watafute shimo la kuweka sura zao, hasa baada ya maneno makali ya kuitikisa serikali katika utendaji wake usiofaa, hasa katika elimu, kilimo.

Sasa hivi CCM ni kama mahali pa talk show tu, nothing serious hapo.
Kwa hali hii CCM haiwezi kuwa na mustakabali mwema hasa kwa kuanza vibaya mwaka 2014!
Ni maoni tu.

Umelonga Mkuu na hili la kuzuia kuwapokea wakitoka huko kutazidisha hasira zao za kuiharibu nchi!
 
masopakyindi
I have nothing to add.
Umemaliza kila kitu Mkuu.
Kwa mara ya kwanza, Chukua like yangu
 
Last edited by a moderator:
CCM inawenyewe na wenyewe ni magamba na watoto wao. Wamekula vya watanzania mpaka wamevimbiwa. Shame on them!
 
masopakyindi, nafurahi sasa umeacha kufikiria Kyindi aka mlo na kuona kwamba maslahi ya nchi ni zaidi ya ugali. Ulichoandika kama kimetoka moyoni ndicho CCM inatakiwa ifikirie. Mie nashangaa kuna wazee wengi wenye busara CCM leo hii wanajificha wasitoe ushauri wenye mustakabali kwa nchi.

Nchi hii imetekwa na genge la wahuni, na hilo kundi likiendelea miaka mitano au kumi ijayo , tutasahau kwamba kulikua na nchi inaitwa Tanzania. Genge hilo limejiandaa kutumia hata mtutu wa bunduki kuendelea kuipora Tanzania. Angalia wanavyohangaika kuiza nchi - leo kuna Navy ya China, Kesho ya Marekani, keshokutwa ya Italy, mra ya Greece.....hivi tumechanganyikiwa?

Masopakyindi najua wewe ni mtu makini , yafaa usiishie huku JF, waambie hao wenzi macho makavu ukiwa kwenye vikao. Kumbuka hapo majuzi tu Hassy Kitine alishindwa hata kuongea kwa jinsi alivyokata tamaa na hali inayoendelea hapa nchini....sasa kinachoshangaza , kwanini mnalalamika pembeni mpaka pale wateule wenu wanapotupwa nje ndo mje kulalamikia CCM huku?

Mkuu kuna wale wanaofikiria kuwa password yangu imeibiwa!!!!
Wala hakuna kitu kama hicho.

Mie bado CCM damu damu, lakini ile CCM ya zamani, CCM ya watu, wananchi.
Sie wengine hata halaiki tumecheza, tulipokuwa Young Pioneers, wa TYL!!

Sasa hivi CCM iliyojaa watu wasioeleweka na walivyofika walipofika ni wao wenyewe wanajua.
Haingii akilini viongozi wa CCM Mikoa kuanza kulumbana hadharani, kitu ambacho hakijawahi kutokea, mambo yote yanamailzwa kwa vikao. hapo lazima ujue kuna watu wanatetea ulaji walioahidiwa au waliopewa.
Kwa msingi huo tu , hatuna viongozi chamani.

Ukianza kutrace back, wezi, watu wenye uchu wa mali waliokaribishwa ndani ya CCM na sasa wanatekeleza miradi yao bila kukemewa ndio chanzo cha mitafaruku hii tunayoiona.

CCM iliyobaki leo ni ile CCM ya viongozi, wananchi wanazidi kuyoyoma.
 
Kitufe cha like kimepotea. Pokea hii ya maandishi. Like.
 
Matukio ya kisiasa tunayoyashuhudia yanaendelea kukidhoofisha chama mbele ya wanachama wake.
Kimsingi kwa sasa chama cha mapinduzi, chama tawala inaelekea kinaendeshwa bila kuweka maanani hali halisi ya wananchama wake , wengi wao wakiwa wa hali ya chini.

Pamoja na ukweli kuwa CCM ndio imetoa viongozi wanaoendesha nchi, viongozi hao aidha wamelewa madaraka au kwa makisudi kutotilia maanani mawazo na matakwa ya wanachama.

Yanayoshuhudiwa sasa ni viongozi wenyewe ndani ya chama kupigana vijembe vya nguvu, kwa maslahi binafsi.
Bifu kati ya wenyeviti wa mikoa , hususan kati ya Msindai mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na "Msukuma" mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, ni ushahidi tosha kuwa CCM sasa mambo ni ubinafsi kwanza, chama baadaye.
Wote wanaongoza makundi yanayo shabikia pande tofauti katika uchaguzi mkuu ujao.

La pili, hili la Rasimu ya Katiba Mpya , inaelekea chama hakiko pamoja na wananchi, chama kina msimamo wa viongozi wake , kubebana, na si kwa maslahi ya nchi.
CCM kwa miongo kadhaa imeshindwa kutatua kero za muungano, na kushindwa huko kumewezesha CUF kupata umaarufu na hatimaye kushinikiza Zanzibar, kama nchi, kuanza mchakato wake ulibadili katiba yake.
Haya yote yalifanyika , na CCM ikawa mtazamaji tu wakati Katiba Mama ya Muungano ikiwa imeanza kukosa uhalali wake.

CCM wakuwa kama sikio ambalo halisikii dawa, na kwa makosa wanamshambulia Warioba ambaye kimsingi ni kama kioo cha matakwa ya wananchi.
Kioo kimeonyesha kile wananchi wanachotaka, CCM haipendi kile wananchi wanachotaka!!!

Tatu ni hili la Kinana , Katibu Mkuu wa CCM na Katibu uenezi wa CCM kupita mikoani kukusanya kero za wananchi.
Kero hizo zilipelekwa hadi Kamati Kuu ya CCM nawengi wetu tulifikiri CCM ina meno!!!
La hasha CCM meno hakuna siku hizi na Kinana na NNape inabidi watafute shimo la kuweka sura zao, hasa baada ya maneno makali ya kuitikisa serikali katika utendaji wake usiofaa, hasa katika elimu, kilimo.

Sasa hivi CCM ni kama mahali pa talk show tu, nothing serious hapo.
Kwa hali hii CCM haiwezi kuwa na mustakabali mwema hasa kwa kuanza vibaya mwaka 2014!
Ni maoni tu.
Ni vigumu kwa sasa hivi kujua CCM inasimamia nini haswa.
Kwa ukweli inaanza kuwa haina tofauti na CHADEMA.
 
OPD operation pamoja daima imeanza kuwatia nuru magamba huyu tayar kashapata hekima bado ritz,simiyu,sixgates,chamviga etc
 
Back
Top Bottom