Hakuna mapenzi wala mahusiano

Lemaiba

Member
May 19, 2010
21
2
Katika kizasi cha leo, hakuna mapenzi wala mahusiano, swala kubwa ni pochi tuu, una burungutu wapenzi wanakuwa wengi na utapata huduma itakayo. Hakuna pes hakuna mapenzi wala mahusiano.
 
Katika kizasi cha leo, hakuna mapenzi wala mahusiano, swala kubwa ni pochi tuu, una burungutu wapenzi wanakuwa wengi na utapata huduma uitakayo. Hakuna pes hakuna mapenzi wala mahusiano.
 
Hongera kwa kubaini hilo na kukielewa KIZASI cha leo...mpaka hapo umefaulu mtihani wa “mapenzi na mahusiano“ .
 
Katika kizasi cha leo, hakuna mapenzi wala mahusiano, swala kubwa ni pochi tuu, una burungutu wapenzi wanakuwa wengi na utapata huduma uitakayo. Hakuna pes hakuna mapenzi wala mahusiano.
wewe ingefaa ungekuwa wangu manake hata mimi naamini hivi
 
Tatizo letu vijana wa leo ni kufikiria unyumba kabla ya ndoa, ndiyo maana hata maana ya mapenzi imetoweka kabisa. Vijana wengi hatujui kuwa true love ni zaidi ya ngono ambayo tunaishabikia kila siku. Mara nyingi watu wakianza mahusiano kwa kufanya ngono, suala la kupendana huwa halipo tena zaidi ya kufanyiana tathmini. Mara oh, mtu wangu amepoa, hajishughulishi nk!Lakini upendo wa kweli huwa moyoni, hata kama hakuna kufanya mapenzi huwa upo tu!
 
Nakubaliana na wewe, hapa tatizo ni kufanywa zoba/mjinga

Back
Top Bottom