hakuna kitu kinakera kama hiki!!!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
kuwa na msichana anae kuomba omba pesa au sijui umuongezee salio kwenye simu yake!!utadhan wee ndio mzazi wake bana..badilikeni wote wenye hako katabia,kama mtu anajisikia kukupa,atakupa mwenyewe bila we kumkera kwa kumuomba ovyo.
 
Umeyataka mwenyewe kutembea na vibinti vya shule..................................!
 
Tatizo na sisi wanaume wakati wa kuanzisha mahusiano tnakuwa na machejo mengi,mara uazime gari,mara umemtoa out hotel kubwa,mara kabla haujabipiwa umepiga.Kumbe ilikuwa ni zuga tu umempata sasa kwa nini hautaki kuendelea ku-provide man?
 
ukitaka cha uvunguni sharti uiname itakuwa umemuendekeza komaa hivyo hivyo.
 
kuwa na msichana anae kuomba omba pesa au sijui umuongezee salio kwenye simu yake!!utadhan wee ndio mzazi wake bana..badilikeni wote wenye hako katabia,kama mtu anajisikia kukupa,atakupa mwenyewe bila we kumkera kwa kumuomba ovyo.

We si umemwambia mwenzio mida hii hii kama hana hela anahangaika na wasichana wa nini? Practice what you preach
Tena nna wacwac huyo mdada kasevu no yako kwa jina la 'vocha'
 
ahh jaman mbona wanaume mnalalama sana?
kavocha tu?
bado mariedo apo
bado kawese km ana vtz
bado niongeze m3 ya kod ya nyumba
na ada ya dogo imepungua laki 9

WANAUME WA ZAMAN AHH WANATOA YOTE AYO BILA ATA KULALAMA...kwanza USIPOMWOMBA NAKWAMBIA INAKUWA UGOMVI MKUBWA.. VP MBONA AUNIOMB ELA?KUNA MTU ANAKUPA? ahh skuizi ukijifanya UNADUMISHA penzi kwa kuomba ela UNAKIMBIWA haha ahah mimi apana elewa kabsaaaaaaaaa......JAMAN NYIE WAUME TOEEEEEEEEEEEEEN toeeen na mungu anawwaona...hazina yenu ni kubwa mbinguni.....:smile-big: m not ready for battle:nono: peac kwa waongaji wooote:rockon:
 
Inawashushi heshima sana,mapenzi yanakuwa yanategea umempa alichoomba,tofauti na hapo km men yupo choka anajishtukia hata kukuona.madem acheni hizo kuweni wajanja.
 
hela za mawazo. Hivyo vi buku 2 vya vocha fungia macho tu mkuu ni kama bia moja tu mbona.
 
Tatizo na sisi wanaume wakati wa kuanzisha mahusiano tnakuwa na machejo mengi,mara uazime gari,mara umemtoa out hotel kubwa,mara kabla haujabipiwa umepiga.Kumbe ilikuwa ni zuga tu umempata sasa kwa nini hautaki kuendelea ku-provide man?

Kweli kabisa! ni tatizo lakutokuwa muwazi tangu mwanzo! mwambie mtu ukweli don act,sasa leo yamemkuta ana lalamika,unategemea nini wakati we mwenyewe umeonesha una uwezo wakutuma vocha kila siku,mwache atumie chance vizuri uliomtengenezea.
advice kwake: try to be real
 
kuwa na msichana anae kuomba omba pesa au sijui umuongezee salio kwenye simu yake!!utadhan wee ndio mzazi wake bana..badilikeni wote wenye hako katabia,kama mtu anajisikia kukupa,atakupa mwenyewe bila we kumkera kwa kumuomba ovyo.

usipotoa wenzio watatake advantage...mkuu wadada wa dotcom wajanja balaah, wana bwana wa kumpeleka coco kula mihogo weekend, yupo wa kumpeleka show za diamond, yupo wa kumuwekea vocha, halafu yupo kidume wa 6 x 6 n.k
 
Kuna kijana mmoja nilimsikia akilalamika "vocha namnunulia lakini hajinipigia hata siku moja anani bipu tu".
 
kuwa na msichana anae kuomba omba pesa au sijui umuongezee salio kwenye simu yake!!utadhan wee ndio mzazi wake bana..badilikeni wote wenye hako katabia,kama mtu anajisikia kukupa,atakupa mwenyewe bila we kumkera kwa kumuomba ovyo.

ubaya ni kwambu hun wa kudum...waache wakukombe kwanz
 
haahahhaha wanaume kwa kulalamika!we si buzi lazime uchunwe uchunike
 
We si umemwambia mwenzio mida hii hii kama hana hela anahangaika na wasichana wa nini? Practice what you preach
Tena nna wacwac huyo mdada kasevu no yako kwa jina la 'vocha'
umepiga ikulu mkuu!
 
Back
Top Bottom