HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 607
- 553
Nianze kwa kupinga usemi wa kuwa kundi la wasomi wa kiafrika akiwemo Nyerere eti waliwakomboa Waafrika i.e. Watanzania la hasha hata kidogo.
Nasema hivyo kwa kuwa kama wao wenyewe walishindwa kujikomboa KIFIKIRA kwa kukumbatia baadhi ya vitu kama vile dini, majina, mavazi,mitindo mbalimbali i.e.miziki, n.k wamewezaje kusema wametukomboa?
Mimi ningekubaliana nao kuwa WAMETUKOMBOA iwapo tu wangeweza kuturejesha kwenye fikira zetu kwa wao kuanza kuyakataa majina ya kizungu i.e. Julius, Patrick, Keneth, Nelson, n.k. na kurudi kwenye majina yao ya KIAFRIKA na hata MILA/DINI za Kiafrika.
Walichofanya wao ni kutaka madaraka ya KISIASA na KIUCHIMI na kutudanganya kuwa tayari wametukomboa wakati walichofanya ni kuhamisha maisha ya kizungu tu kisiasa, kijamii na kiuchimi tu.
WAAFRIKA tutafuteni UKOMBOZI HALISI ambao ni wa KIFIKRA/AKILI na siyo kisiasa tu hapo bado tunajidanganya.
Tuyakatae majina, dini, mavazi, desturi, mila, nk hapo tutakuwa tumejikomboa .