- Thread starter
- #21
Hata zanzibar wanasheria zao,yani anakuja na utetezi kuwa wazungu wanatozwa na sisi tukubali kizembe tu, dr. Dau anakwama,atakuwa nesi muda si mrefu,mana uchambuzi wake niwaki puzi sana.
Kwa tamko lake inaonyesha mswada wa kupelekwa bungeni umekufa kifo cha kawaida.