Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,708
Kwa kauli hii pekee sihitaji kukuuliza kabila yako miss neddy! Zaidi ya Mchagga !
hahaha mi sio mchagga Judgement umekosa
Last edited by a moderator:
Kwa kauli hii pekee sihitaji kukuuliza kabila yako miss neddy! Zaidi ya Mchagga !
Aisey Shem nami nimefurahi kukutana nawe! Kama ajali hivi leo!
Ukiwa na mafua usione una ugonjwa mkubwa sana.Usahaulifu kwa kina mama ni common sana.Nikupe experience yangu.Mke wangu amebeba ufunguo wa kuingia ndani. Anafungua mlango anaingia ndani.Usiku ukifika anataka kufunga mlango ufunguo hauonekani - umepotea! Namuuliza: Si wewe ulifungua huu mlango? Anajibu ndio. Sasa ufunguo umeuweka wapi? Anashangaa hajui.Tumeshalala nyumba wazi mara mbili tatu hivi, na ilibidi kuondoa kitasa na kuweka kipya. Haya, simu sasa. Mungu wangu! Mara utasikia: Watoto! Nani kanionea simu yangu? Huwa namwokoa kwa kubeep na ataifukua katikati ya furushi la blanketi. Siku moja niliibeep nikasikia ikilia chooni!
Kwa hiyo Judgement usifikiri ni wewe pekee.Akina mama na kazi zao nyingi za kuhudumia nyumba(familia) zinawaongezea aina ya stress na usahaulifu usio wa kawaida.
Hhhhhhaaaa mi nishawahi nunua vitu dukani halaf nikaondoka bila kulipa nikaitwaa hii ndio inanitokea mara kibao hhhhhaa nasahau kulipa
Sio kwako tu....
Ukiwa na mafua usione una ugonjwa mkubwa sana.Usahaulifu kwa kina mama ni common sana.Nikupe experience yangu.Mke wangu amebeba ufunguo wa kuingia ndani. Anafungua mlango anaingia ndani.Usiku ukifika anataka kufunga mlango ufunguo hauonekani - umepotea! Namuuliza: Si wewe ulifungua huu mlango? Anajibu ndio. Sasa ufunguo umeuweka wapi? Anashangaa hajui.Tumeshalala nyumba wazi mara mbili tatu hivi, na ilibidi kuondoa kitasa na kuweka kipya. Haya, simu sasa. Mungu wangu! Mara utasikia: Watoto! Nani kanionea simu yangu? Huwa namwokoa kwa kubeep na ataifukua katikati ya furushi la blanketi. Siku moja niliibeep nikasikia ikilia chooni!
Kwa hiyo Judgement usifikiri ni wewe pekee.Akina mama na kazi zao nyingi za kuhudumia nyumba(familia) zinawaongezea aina ya stress na usahaulifu usio wa kawaida.
Mkuu mwambie awe makini, akirudia mchape mskofi mawili ya haraka, hawezi kurudia. Akirudia ni mgonjwa, mpeleke klinik ya ushauri
Mm tatizo langu ni kuvua boxer na kuiacha hapohapo chini ila mke wangu kanizoea!!!