Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

Kakasome Monetary Economy... Haitomsumbua ... Hata akisoma Environmental Economics and Natural resources (Kwa kipengele Cha urithi ) ... Hata nchi inarithisha vizazi Kwa vizazi maliasili na mazingira.... Machukizo ni kuuachwa bila urithi na unaona jirani anatoboa...niliumia sana .. ila Kwa Sasa vizazi vyangu viwili vitaishi sijui hao watawaachiaje vizazi vyao .... Amini nakwambia chuki kubwa ni UMASKINI WETU...TUNACHUKIA WALIOFANIKIWA BILA SABABU YEYOTE...
Ukiwa katika Hali ya kukosa unajikuta unachukia tuu kuisikia habar za flan kajenga au ana gari au amepata kazi

Hii utokea sababu kubwa kukosa
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake

HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho

Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
Kipindi kile alidai analipwa jiwe 7 si ndio
 
acha ujinga wewe, kama manara anafanya kufuru asiambiwe? Siku akiugua tusisikie anaombaomba mchango akatibiwe
Kama hadi ruge aliomba.. Prof J aliomba msaada so kesho hatuijui ishi leo yako vizuri uwezavyooo. Acha manara ajiliee vyakee
 
Hapo anapofanya ni anasa, mkiambiwa anasa ni dhambi muwe mnaelewa, sio mnatoa majibu ya karaha kusema tukatafute hela, wengine hatutafuti hela, hela zenyewe zinatutafua na kutupata kisha kuingia kwenye mifuko yetu. Why utafute hela? Hiyo ni shida, hela ndiyo inatakiwa ikutafute na ikupate
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake

HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho

Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
Nilivyoliona mimi tukio zima ni biashara ile.

Haji pale anatengeneza pesa ndefu.

Kwa wenye kuekewa tu show business ni nini.
 
Manara hajaanza leo utapeli Alishatimuliwa ccm Mkoa wa DSM kwa utapeli , Picha za namna akivyopigwa pingu zimo humu jf

Yaani mpaka ccm ikufukuze kwa wizi basi ujue wewe ni balaa , huyu Decemba atatangaza ndoa nyingine ili akina GSM na Mzee wa Msoga wamchangie tena hela , hana aibu yaani
Angetulia ccm angekua mbali, hivi pamoja na mbwembwe zote amekumbuka kujenga kweli manake apartment analipiwa na GSM gari alinunuliwa na GSM na anapenda kuwa karibu sana na waarabu, si watu wazuri hawana vya ewala ewala.
 
Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza

Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live

Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake

HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho

Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya

Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo

View attachment 2875792
"Tanga muweza" jina sahihi ni Tanga Muheza.
 
Wazazi pia hupata zawadi hivyo hawawezi kumkataza lakini pia kijsna ni kopi ya baba yake kama ulikuwa haulijui hilo.
 
Back
Top Bottom