Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,242
- 12,762
Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena.
Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo upo kesho haupo. Haiwezekani kupata betri ambalo linachaji wakati umeme upo. Ukikata unatumia umeme huo. Liwe la size tofauti. La kuanzia kuanziq kutumia nyumba nzima au lile la kuwasha vitu kama computer tu, TV, friji tu nk. Haiwezekani hili kufanyika?