EXAMINATION DREAMS
In examination dreams, which Freud
considered to be "typical dreams," the
dreamer sees himself back at school taking
an examination.
Freud mentions this type of dream several
times in The Interpretation of Dreams (1900a).
The dreamer is embarrassed to see himself as
an adult among much younger fellow
students and obliged to retake an
examination that he already passed a long
time ago. "It would seem, then, that anxious
examination dreams (which, as has been
confirmed over and over again, appear when
the dreamer has some responsible activity
ahead of him next day and is afraid there
may be a fiasco)" (1900a, p. 274). The
meaning of the dream would be: "Don't be
afraid of tomorrow! Just think how anxious
you were before your Matriculation, and yet
nothing happened to you"
Note. Ndoto hii huwajia watu walio pasi mtihani tu. Kamwe mtu aliyepiga f f f f haoti ndoto ya kurudia mtihani!
Hali hiii kama mm, yaaan mm utakuta naona harafu sijasoma na labda paper siku mbili mbele, kuota kwangu ni elimu ya chuo, mwaka juzi nikaenda kusoma chuo kwakweli nilisumbua darasani, ila leo nimeota tena kwamab nimesoma lakini kichwan sina kitu nikastuka fastaHii imewahi kunitokea kitambo ila yenyewe nilikuwa naota paper moja ya advanced physics mara nimepiga paper mda umeisha, wakati mwingine naota paper kesho hafu kichwani naona empty. Ila baada ya mda hiyo hali ilipotea kabisa.
Mkuu hii mambo ni hatari sana maana unashtuka unasindikizwa kwa kusweat.Hali hiii kama mm, yaaan mm utakuta naona harafu sijasoma na labda paper siku mbili mbele, kuota kwangu ni elimu ya chuo, mwaka juzi nikaenda kusoma chuo kwakweli nilisumbua darasani, ila leo nimeota tena kwamab nimesoma lakini kichwan sina kitu nikastuka fasta
Mkuu hebu tuambie ulijuaje ni yy yan ulitumia njia gan utakua umetusaidia sana na ss wahangaKwa ufupi ni kuwa nyota yako ya maendeleo waswahili wameisha ichukua. na ww utabakia hivyo hivyo. yalinikuta na ndivyo nilivyobakia. mbaya sana aliyenichukulia ni mwana ndoa mwenzangu. nimeshituka mda umekwenda sana. ushauri: watu wako wa karibu kuna mmoja anakuchukia sana na kukusema kwa watu vibaya. anakuchonganisha na watu na kukuzulia sifa mbaya, ila anajifanya kukupenda mnapokuwa pamoja, mtafute ndiye huyo. pili yy ameanza kupaa kifedha si kimaisha.
Naishia hapa kusoma comments ....sitak kusoma zilizobskiEXAMINATION DREAMS
In examination dreams, which Freud
considered to be "typical dreams," the
dreamer sees himself back at school taking
an examination.
Freud mentions this type of dream several
times in The Interpretation of Dreams (1900a).
The dreamer is embarrassed to see himself as
an adult among much younger fellow
students and obliged to retake an
examination that he already passed a long
time ago. "It would seem, then, that anxious
examination dreams (which, as has been
confirmed over and over again, appear when
the dreamer has some responsible activity
ahead of him next day and is afraid there
may be a fiasco)" (1900a, p. 274). The
meaning of the dream would be: "Don't be
afraid of tomorrow! Just think how anxious
you were before your Matriculation, and yet
nothing happened to you"
Note. Ndoto hii huwajia watu walio pasi mtihani tu. Kamwe mtu aliyepiga f f f f haoti ndoto ya kurudia mtihani!
Ni PM nitakusaidiaSalaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi.
Yaani pamoja na kuwa nimepata digrii ya halali bila kufoji vyeti miaka zaidi ya mitano iliyopita ila bado naandamwa na ndoto ambayo imekuwa ikinipa tabu sana, wakati mwingine naota kesho ndio pepa la necta halafu sijasoma kabisa, wakati mwingine ndio nimeanza pepa halafu hakuna nnachojua, wakati mwingine nimechelewa kuingia kwenye pepa, yaani pepa linakaribia kuisha mi ndo naingia.
Nikistuka najiskia vibaya sana kwa muda halafu fahamu zikiniijia nafurahi kwamba kumbe hiyo stage nilishavuka kitambo. Nini chanzo cha ndoto hizi, na kwanini zimeanza mwaka huu na zimekuwa zikijirudia rudia?
Ni PM nitakusaidiawataalamu njooni mtusaidie please tupo wengi
Ndugu umenikumbusha mbali sana ndoto za hivi kuna wakati ziliniandama sana exactly kama ulivyoandika mara nyingi inanikuta nikiwa sijajiandaa haswaa mitihani ya f6.. niliambiwa ni roho mbaya hataki upige hatua ama ni dalili ya kurudi nyuma kimaendeleo ama kunahofu na jambo fulani mbele.. Muhimu jiangalie na utafakari je tayri una kazi yako? una majukumu magumu ya kifamilia? Pia kumbuka kusali sana ndoto za kujirudia mara nyingi huja kama onyoSalaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi.
Yaani pamoja na kuwa nimepata digrii ya halali bila kufoji vyeti miaka zaidi ya mitano iliyopita ila bado naandamwa na ndoto ambayo imekuwa ikinipa tabu sana, wakati mwingine naota kesho ndio pepa la necta halafu sijasoma kabisa, wakati mwingine ndio nimeanza pepa halafu hakuna nnachojua, wakati mwingine nimechelewa kuingia kwenye pepa, yaani pepa linakaribia kuisha mi ndo naingia.
Nikistuka najiskia vibaya sana kwa muda halafu fahamu zikiniijia nafurahi kwamba kumbe hiyo stage nilishavuka kitambo. Nini chanzo cha ndoto hizi, na kwanini zimeanza mwaka huu na zimekuwa zikijirudia rudia?
Kwa kiasi fulani naweza kuamini hili Mkuu.ndoto hii nimeota sana, na kuna mtu siku aliniita na kuniambia kapata ufunuo ndotoni kwamba kuna watu wameshikilia nyota yangu ya mafanikio.
Mimba ishatokaaHayupo duniani kivipi wakati ndiyo anakulipa pesa kushinda hapa jf kumtetea?
Tena mpe Bashite hongera zake lile bao la mkono limezaa matunda tayari shemeji kitumbo kimevimba baada ya wazungu kusokomezea bao lake kwa mkono mpaka mimba ikanasa.