kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,611
Duuh, tupo wengi kumbe.. Ndoto hii mimi nimeota Mara nyingi Sana ilinisumbua Sana kupata maana lakini Mungu ni mwema, wachangiaji hapo juu wameeleza vizuri sana. Mtihani katika ndoto ni maisha, kuna jambo halijakaa Sawa in your life either ni challenge iliyo juu ya uwezo wako (kama unaota unaingia kwenye paper hujajindaa au wengine wanamaliza we ndio kwanza hujajaza kitu etc), kama ni kazi au biashara ongeza juhudi na ubunifu. Mwombe Mungu itaisha tu.. Kwangu mimi sijazipata kitambo