MOST WANTED
JF-Expert Member
- Aug 16, 2011
- 207
- 175
Hili Chimbo lipo Mbeya.... Guess where?? ......
Hili Chimbo lipo Mbeya.... Guess where?? ...... View attachment 2505516
HahahahahHalafu,nimeamka na hangover ya malta.Unaniweka majaribuni hasa hapo kwenye bondo+nyamnyam!
Lakini wote hula.Kwahiyo wana Jf wote wanaishi Mbeya eeehhhh...🙄
Unautani na yule bibi Fey eeehhh...🤣Lakini wote hula.
Bila shaka upo nyanda za juu kusiniVitu vyangu hivyo nimekula jana hiyo
Leo naenda tena kilo moja buku nane tuuView attachment 2505569
Subhannallah!Pishilia mbali!Mimi mniachie miguu na masikio.Hivyo vingine kwangu kharamu!
Upo sahihi mkuuBila shaka upo nyanda za juu kusini
Kitu gan hichi mkuu
Mkoa ganiUpo sahihi mkuu
Nipo njombe😀😀 si mdudu uyo mzeeKitu gan hichi mkuu
Ebu kula vitu vya kueleweka njoo mbeya mjini hapa ule kitu safiii
Tumbo bana, unakula mazaga matamu tamu lkn Muda wa kuyatoa hutaki hata kuyaangalia unatema na mate juu.
Weekend njema wadau.
😳🤣🤣🤣🤭Tumbo bana, unakula mazaga matamu tamu lkn Muda wa kuyatoa hutaki hata kuyaangalia unatema na mate juu.
Weekend njema wadau.