Hadi sasa sijaona cha kumpongeza Magufuli

Unataka akuletee hela kwako ndio umpongeze shame on you guy huyo ni rais wako
 
Wao kila kitu ni kupongeza ata wakati wanaweka saini Mikataba mibovu ya raslimali za Nchi waliitikia ndiyooooo.....

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa watu wanatokwa mapovu Mara Magufuli ni chaguo la mungu
Mara anatetea wanyonge
Mara anatetea rasilimali za nchi
Mara mzalendo
Mara aongezewe muda wa kuongoza wakati hata miaka 2 hajatimiza kwenye uongozi wake

Mimi kama mtanzania ninaejielewa,ninaejua baya na zuri sioni cha kumpongeza Magufuli hadi sasa

Naona jamaa kazidi tu kuleta Shida na taabu kwa wananchi.
Magufuli katiri sana hafai hata kuongezewa sekunde 10 muda wake ukiisha
 
Kwa vile KAKUBANA kwenye yale MAMBO YAKO, HUWEZI KUMPONGEZA!!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa kuna kipi kakifanya Myweather?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hongera kwa kujitambua Mkuu. Ulichoandika kuhusu huyo dikteta uchwara ni kweli tupu. Ni yale MAZUZU tu ndiyo yanayoandika pumba zao kuhusu huyu mtu wakati hajafanya lolote la maana na kaangusha uchumi wa nchi kwa sera zake MUFILISI.

Nashangaa watu wanatokwa mapovu Mara Magufuli ni chaguo la mungu
Mara anatetea wanyonge
Mara anatetea rasilimali za nchi
Mara mzalendo
Mara aongezewe muda wa kuongoza wakati hata miaka 2 hajatimiza kwenye uongozi wake

Mimi kama mtanzania ninaejielewa,ninaejua baya na zuri sioni cha kumpongeza Magufuli hadi sasa

Naona jamaa kazidi tu kuleta Shida na taabu kwa wananchi.
 
".....Naona jamaa kazidi tu kuleta Shida na taabu kwa wananchi."

Fafanua zaidi mkuu hapa...
Huenda kwa kuwa kaona vituo vya mafuta vimefungwa kwa ajili ya kukosa machine za efd

Au kwa kuwa bei ya sukari ni 2,800/-
Inakaribia 300,000/- hiyo isikufanye uone ubaya wa mheshimiwa bali ongeza kipato chako mkuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa watu wanatokwa mapovu Mara Magufuli ni chaguo la mungu
Mara anatetea wanyonge
Mara anatetea rasilimali za nchi
Mara mzalendo
Mara aongezewe muda wa kuongoza wakati hata miaka 2 hajatimiza kwenye uongozi wake

Mimi kama mtanzania ninaejielewa,ninaejua baya na zuri sioni cha kumpongeza Magufuli hadi sasa

Naona jamaa kazidi tu kuleta Shida na taabu kwa wananchi.
Endelea kutokuona....

Post sent using JamiiForums mobile app
 
c6c42f16040d8f74ba687a2379c0ba42.jpg
 
Huwa nashangaa hadi kuna WAKATI najua wengine mim nilishakufa sjielewi..maana watu wanasifia wakati huohuo shida tupu,sjui wao wanaishi Tanzania gani?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kila mmoja wetu ana wajibu na nchi yake na kwa pamoja kama nchi tunapiga hatua moja kwenda hatua nyingine kila siku.

Pongeza ziwaendee watanzania wote kwa umoja wao ktk kujenga uchumi bora na kuboresha Huduma za jamii kwa watu wote.

Kama nchi changa tunaendelea kwa kadri tunavyoimarika kiuchumi
Huo uchumi unaimarika wapi mkuu,au kuna Tanzania zaidi ya moja kuwa wengine mnaishi huko na kukuona uchumi ukiimarika na ssi tupo Tanzania nyingine ambako uchumi haukui!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
lipo la maana si juziiii tuu amesema wanafunzi watakao beba ujauzito hawataruhusiwa kuendelea na shule
 
Utaonaje yote wakati wewe ni kipofu
Utasikia tu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom