Hadi sasa kuna Madicteta Afrika zaidi ya hawa?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Madicteta waliowahi kutokea na hadi sasa wapo Afrika ni:
1. Idd Amin wa Uganda
2. Colonel Muammar Gaddafi - Libya

3. Jean-Bedel Bokassa - CAR
4. Mobutu Sese Seko – [Zaire] Congo
5. Robert Mugabe – Zimbabwe
6. Kamuzu Banda – Malawi
7. Laurent Kabila – DR Congo
8. General Sani Abacha – Nigeria
9. Sekou Toure – Guinea
10. Charles Taylor – Liberia

Je kuna zaidi ya hawa au wanaoelekea kuwa madicteta?
 
<STRONG>Madicteta waliowahi kutokea na hadi sasa wapo Afrika ni: 1. Idd Amin wa Uganda 2. Colonel Muammar Gaddafi - Libya 3. Jean-Bedel Bokassa - CAR 4. Mobutu Sese Seko – [Zaire] 5. Robert Mugabe – Zimbabwe 6. Kamuzu Banda – Malawi 7. Laurent Kabila – DR Congo 8. General Sani Abacha – Nigeria 9. Sekou Toure – Guinea 10. Charles Taylor – Liberia. Je kuna zaidi ya hawa au wanaoelekea kuwa madicteta?
 
Kwanini huweki madikteta wa ughaibuni? Au unaamini kua udikteta ni exclusive kwa Africa?
 
Back
Top Bottom