"Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

Pole sna, hayo ndo mapito hapa ulimwenguni, yakupasa kuvumilia kila jambo, kikubwa sasa inabidi ujirudi ktk maisha yanayoendana na kipato chako, funzo ulishalipata kwamba huyo mzee wako biashara hawezi, siku nyingine biashara vyema ukaifahamu kabla na hata kama wewe uko na ajira sehemu nyingine lakini vyema kutafuta muda wa kuipitia na haswa kujua mapato na matumizi kwani katika hilo ndipo utakapofahamu mbivu na mbichi.
Usimwache ila kama ikibidi mtafutie kazi yeyote afanye kwani kukaa kusubiria cha wife nouma

Pole ila Mungu yu pamoja na wale wamtafutao.

Nipo ndani ya Ndoa 2 yrs nw. Mume wangu hana kazi ni mwaka mmoja na miezi 9 sass,Tuna mtoto wetu mmoja na depend ants wawili, hivyo tukakubaliana nikope ofisini tufanye biashara azisimamie ili awe busy na tusaidiane kutafuta riziki. Nikakopa Zaidi ya million 10 tukafanikiwa kufungua biashara kubwa tu. Baaada ya ya miezi 3 biashara ikayumba sana kumbe Mr alikuwa anatumia pesa za biashara kwenye mahitaji yake binafsi. Nikalalamika san a, akakopa sehemu laki 5 ili aongeze mtaji, akashindwa kulipa, ikabidi nikope sehemu nikalipa na riba. Baadae nikamuongeza laki 5 akaongeza mtaji at least biashara ikanyooka. Nikasafiri holiday December mwaka Jana, nilivyorudi kumbe biashara ameifunga coz mtaaji wote kushnei, halafu hakuniambia, kijana wangu ndo alinambia. Aisee nilihisi kufa Kwani nilikuwa naitegemea san a hiyo biashara ukitegemea makato ya mkopo huo ni miaka 6 hivyo naendelea Kukatwa na biashara ishakufa, kipato kimepungua hakitoshelezi tena,yeye ameridhika na maisha ya Kulelewa tu majukumu yote ni mimi tu. Nahisi Ndoa inaelekea kunishinda ukiongezea na stresss zingine anazonipa natamani kukimbia nikaanze maisha na mwanangu maana mwanaume Hana appreciation wala huruma ninavyohangaika hivyo nashindwa kumuelewa anachotaka jamani sielewi nimfanyaje?
 
Ungekuwa unampenda kweli mumeo wala hayo ulosema yasingekuwa issue...maana nimesoma mara mbili mbili kuona kama mumeo ni cheater; sikuona...hizo nyingine ni za kuishi nae kwa akili wala si za kuvunja ndoa.

Unataka niamini kuwa wanawake wa sasa kama huna kitu wako tayari ku file divorce; na wanaume wangekuwa na roho kama yako nadhani nusu ya wanawake wangeshatwangwa talaka.

Nafikiri cheating sio concern yake sana na ndio maana hajaifuatilia. Tukifuata money line, pesa za biashara amepeleka wapi' is it drinking, au kuhonga au business went wrong.

Kwakweli kwa baba au hata mama kukaa tu na kutojali mustakabali wa familia inasikitisha sana. Mwanamke akikaa nyumbani, maana yake anatake care ya familia ambayo ni employment kabisa inayostahili walau kima cha chini cha mshahara. imagine mwanaume anakaa nyumbani so useless kabisa!

Anyway, kwakuwa tumepata story ya upande mmoja ni vigumu kusema kwa uhakika.
 
Dada pole,binadamu kuwa na tabia hii hasa mwanaume ni laana kubwaaa
"
Ni bora biashara ingeshindwa kwenda kwa sababu za kibiashara na sio matumizi mabovu
"
Dada ninachoweza kukuambia hebu mueleze kuwa maisha hayawezi kwenda kwa mwanaume kulishwa hii ni aibu
"
Huyo jamaa sijui anaonaje sawa kukaa tu na analishwa na kikojoleo anapewa
"
Kama hataki kufanya kazi inabidi ujiulize kama kuna ulazima wa mpaka kifo kiwatenganishe!
 
Bottom line sio kila mtu anaweza fanya biashara
wapo watu ni watu wa kuajiriwa milele....
so bora umtafutie kazi kwingine kuliko kumpa mtaji
 
Nipo ndani ya Ndoa 2 yrs nw. Mume wangu hana kazi ni mwaka mmoja na miezi 9 sass,Tuna mtoto wetu mmoja na depend ants wawili, hivyo tukakubaliana nikope ofisini tufanye biashara azisimamie ili awe busy na tusaidiane kutafuta riziki. Nikakopa Zaidi ya million 10 tukafanikiwa kufungua biashara kubwa tu. Baaada ya ya miezi 3 biashara ikayumba sana kumbe Mr alikuwa anatumia pesa za biashara kwenye mahitaji yake binafsi. Nikalalamika san a, akakopa sehemu laki 5 ili aongeze mtaji, akashindwa kulipa, ikabidi nikope sehemu nikalipa na riba. Baadae nikamuongeza laki 5 akaongeza mtaji at least biashara ikanyooka. Nikasafiri holiday December mwaka Jana, nilivyorudi kumbe biashara ameifunga coz mtaaji wote kushnei, halafu hakuniambia, kijana wangu ndo alinambia. Aisee nilihisi kufa Kwani nilikuwa naitegemea san a hiyo biashara ukitegemea makato ya mkopo huo ni miaka 6 hivyo naendelea Kukatwa na biashara ishakufa, kipato kimepungua hakitoshelezi tena,yeye ameridhika na maisha ya Kulelewa tu majukumu yote ni mimi tu. Nahisi Ndoa inaelekea kunishinda ukiongezea na stresss zingine anazonipa natamani kukimbia nikaanze maisha na mwanangu maana mwanaume Hana appreciation wala huruma ninavyohangaika hivyo nashindwa kumuelewa anachotaka jamani sielewi nimfanyaje?
Daaaaah pole sana kwa mkasa huo,usikate tamaa mapema jaribu kuomba ushauri kwa watu walio kwenye ndoa siku nyingi wamshauri mumeo labda atabadilika,asipobadilika waweza chukua hatua.
 
Mimi nakushauri kuwa , mfanye kama mbwa wa kizungu, ale bure na alale bure, usimpe hata hela ya gazeti, wala nauri akitaka kutoka. mfanye kama mgeni ambaye iko siku ataondoka, usimdharau wala nn.

Pili hakikisha mtoto wako anapata mahitaji yote bila kukosa. usiangalie nini wala nn,Ishi kama vile uko peke yako unajitegemea.

Hiyo ni fundisho kubwa sana , ambalo linaweza likamfanya atoke akatafute kwa nguvu zake.
 
Haahahaha hauamini majicho,ni Larie bwana au hujaona vizuri,ila yawezekana huyo ni pacha wa Lara 1 maanake hilo jina copyright.

a a Blue G, kuna post moja kwenye michango huku imetoka kwa lara 1 aisee ukiisoma.....huyu sie lara 1 m=tulyemzoea!!!
 
Last edited by a moderator:
Bottom line sio kila mtu anaweza fanya biashara
wapo watu ni watu wa kuajiriwa milele....
so bora umtafutie kazi kwingine kuliko kumpa mtaji

Ila huoni there is something wrong with that mume, kwa kuchukua tu story ya upande mmoja.
Ila Larie ungerudi ukatuhabarisha zaidi, alikuwaje mwanzoni especially kipindi cha uchumba maana inaonekana baada ya ndoa tu kapoteza kazi.

Check na spirit line, huenda kuna shida kibande hiyo. Muombewe!
 
Last edited by a moderator:
Nipo ndani ya Ndoa 2 yrs nw. Mume wangu hana kazi ni mwaka mmoja na miezi 9 sass,Tuna mtoto wetu mmoja na depend ants wawili, hivyo tukakubaliana nikope ofisini tufanye biashara azisimamie ili awe busy na tusaidiane kutafuta riziki. Nikakopa Zaidi ya million 10 tukafanikiwa kufungua biashara kubwa tu. Baaada ya ya miezi 3 biashara ikayumba sana kumbe Mr alikuwa anatumia pesa za biashara kwenye mahitaji yake binafsi. Nikalalamika san a, akakopa sehemu laki 5 ili aongeze mtaji, akashindwa kulipa, ikabidi nikope sehemu nikalipa na riba. Baadae nikamuongeza laki 5 akaongeza mtaji at least biashara ikanyooka. Nikasafiri holiday December mwaka Jana, nilivyorudi kumbe biashara ameifunga coz mtaaji wote kushnei, halafu hakuniambia, kijana wangu ndo alinambia. Aisee nilihisi kufa Kwani nilikuwa naitegemea san a hiyo biashara ukitegemea makato ya mkopo huo ni miaka 6 hivyo naendelea Kukatwa na biashara ishakufa, kipato kimepungua hakitoshelezi tena,yeye ameridhika na maisha ya Kulelewa tu majukumu yote ni mimi tu. Nahisi Ndoa inaelekea kunishinda ukiongezea na stresss zingine anazonipa natamani kukimbia nikaanze maisha na mwanangu maana mwanaume Hana appreciation wala huruma ninavyohangaika hivyo nashindwa kumuelewa anachotaka jamani sielewi nimfanyaje?

Hayo unayolalamika kama ingekuwa ni wewe umefanya hivyo kwa pesa ya mumeo ingekuwaje?
 
Ila huoni there is something wrong with that mume, kwa kuchukua tu story ya upande mmoja.
Ila Larie ungerudi ukatuhabarisha zaidi, alikuwaje mwanzoni especially kipindi cha uchumba maana inaonekana baada ya ndoa tu kapoteza kazi.

Check na spirit line, huenda kuna shida kibande hiyo. Muombewe!

Definitely..
kuna kitu wrong...
but ukweli ni kuwa kuajiriwa ni rahisi kuliko kufanya biashara
wapo watu maofisini wakipewa tu mishahara hawarudi tena kazini mpaka mshahara uishe..
money management ni suala lingine kabisa
 
Kazi pia hana sasa sijui alifukuzwa au kazi iliisha tu. Na ametafuta kwa over a year hajapata, kwangu mimi naweza tafsiri he is picky au lazy. Anyway mdada wa watu keshashauriwa vya kutosha na she knows what she wants and what she can take.
 
1 KOR. 13:4-5 SUV-SW

Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;

Sent from my LT26i using Tapatalk 2
 
Usiwe na jazba dada ngoja nikupe story ya Mama Lara 1 Labda utajifunzaMimi mama yangu alituzaa kwa mkupuo tumepisha miezi tu! Mmoja alizaliwa mwaka huu mwezi wa 7 mwengine unaofata mwezi wa kumi! Sasa tulivokuwa na miaka kama 4 na 5 hivi mdingi akapata scholarship kwenda Bolton u.k, kwa mda sikumbuki. Kufika kule kimyaaaa! Anatuma tu barua na post cards! Afazali huku maza alikuwa anachukua mshahara wake ofisini hatukuyumba sanaaa!Baada scholarship kuisha wenzie wakarudi kuendelea na kazi yeye hakurudi ila alituma barua anaendelea kubaki kutafuta maisha!!! Sasa huku kazi akaachishwa mshahara hauji! Hela hatumii!!! Mama Lara Alinyooka mbona! Watoto 2 wadogo, na ndugu kadhaaa! Alafu Mdingi alivo nundaa akakata mawasiliano kabisaaa! Huku maza ikawa hajui kama keshafungwa, kauwawa, kakutwa na nini? Sasa akiwaambia nduguze hawajali nini wala nini! Ikawa inabidi atafute pesa ili mtu akiwa anaenda U.K anaemjua anampa pesa na mitaa alioonekana mara ya mwisho akamsaidie kumtafuta na kuulizia nini kimempata! Pesa zinaliwa hakuna jibu la maana! Mmjoja tu alimwambia ameppata taarifa kuwa alienda Italy Kimaisha! Huku nyumbani Maji yamezidi unga! Kwanza pesa ya kutunza familia hamna, pili pesa ya kusponsor hiyo kazi ya kumtafuta.Resolution aliyofikia ni kukomaa mpaka mwisho!Anaenda idara za watu kuomba kama kuna kazi asaidie alipwe tu over time! Anafanya kazi hadi saa 8 usiku! Hadi jumapili kazini!Kajenga mibanda na kuingiza kuku za mayai na nyama (Kama yasingemkuta harufu tu ya mbolea anavolalamika weeee)! Anafagia mbolea mwenyewe, kuwalisha na chakula anatengeneza na dada!Kalima bustani ya mboga mboga za kula na kuuza kupata hela ya kutumia!Cha mtemakuni alikiona, kutoka Corporate Maza house hadi bibi shamba!!!!! Alichakaaa! Lakini akakomaa hivohivo na ada za international schools peke yake, na kumtafuta mumewe hakuacha! Kila siku kuulizia nani anaenda Uk na kumpa pesa amatafute! Watu wakawa wanamkatisha tamaa kuwa kaoa mzungu, bora aangalie maisha yake na watoto tu! Wapi anamwaga hela tu za kumtafuta! Kila siku anasisitiza msiache kuomba baba yenu arudi manake hajui how long she will hold on like that! Miaka ikakatika!Watoto tukakata tamaa kama mdingi atarudi tena! Maisha yaanza kuwa kama zamani baba alivokuwepo! Maza nae akaongezewa cheo! Mambo yakastabillize! One fine afternoon My Father came back! Tena tulikuwa tunacheza nje! Akakuta mabanda , mbolea, kuku, bustani ya mboga nikaona chozi likamdondoka! akalifuta fastaaaa! Bottom line is Mama Lara 1 never gave up! Hata alivokuwa na Million resons za kumuacha mumewe she didnt! She held on! Na alivokuja akasemehe na kufurahi karudi salama, japo hakusahau mpaka leo akiuziwa lazima akumbushie! Angeweza kuendesha kesi na nini kama watu walimshauri bt she didnt, she chose not to! 25 years of marriage now!!!!!!!!Jst hold on! Ukiona GIZA LIMEZIDI UJUE KUMEKARIBIA KUKUCHWA!!!!!!! Sometimes there is more to life and marriage than Money and economic stability! Maadam umemjua ni mfujaji basi usimpe tena mwnya wa kudeal na finances!WHAT DOESNT KILL YOU MAKES YOU STRONGER!!!!!!!
This is the best advice in 2013, big up mamaa! Dada Larie pls usiuache huu ushauri si unaona haujaanza ww ! Wapo waliopitia haya na wakashinda Mungu akutie nguvu.
 
Last edited by a moderator:
1 KOR. 13:4-5 SUV-SW

Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;

Sent from my LT26i using Tapatalk 2
kama kweli ulikuwepo, lkn ndoa za siku hizo misingi yake sio upendo ni kazi (financial stability), responsibility, compatibility na infatuation.
 
Hayo unayolalamika kama ingekuwa ni wewe umefanya hivyo kwa pesa ya mumeo ingekuwaje?
Ingekuwa yy hamna madhara kwani wajibu wa mwanaume ni kutunza familia yote ndo maana Adam aliambiwa utakula kwa jasho na Hawa akaambiwa atazaa kwa uchungu.Sasa iweje yy mwanaume atake kulelewa
 
Back
Top Bottom