Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,317
- 7,738
habari zenyu wajameni,
Nafurahi kuwa mmoja wa hii saiti, navashukuru member vote kwani kupitia kwenyu niliweza kuriwasika pale nilipokua katika wakati mgumu, kwani mmoja va rafiki zangu alikuwa ananipa habari ambazo zilinifanya nisahau sida zangu kwa muda mfupi, baadaye nilipomuuliza anazitoa wapi maana alikuwa haisiwi kabsaa, ndo akanialet hapa. hivo, nimeona niwe mwanajumuiya kabsaa.
Nasukuru vajameni, nafikiri nitakuwa mwanachama wa kwanza toka katika kijiji chetu cha Fyengereza wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Asanteni vandugu.