Habari zenu wanaJF?

bacteria

Member
Apr 6, 2009
8
0
Nakuombeni mnipokee wanaJF niweze kupata mengi kutoka kwenu ikiwezeka nanyi mengi kutoka kwangu

Rgds
Bacteria
 
Karibu sana, ila hilo jina lako mh! Usije kutuletea maradhi ndani ya JF (joke).
Tuko pamoja!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom