N ngangali Member Nov 29, 2010 98 19 Aug 10, 2011 #1 Nachukua nafasi hii kuwasalimia wana JF wote, mimi ni member mpya naomba ushirikiano wenu.
AshaDii Platinum Member Apr 16, 2011 16,190 18,080 Aug 11, 2011 #3 Karibu saana na jisikie upo home na watu wa kila aina....
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Aug 11, 2011 #7 karibu saaaaana jamvini ila pia usisahau yale masharti uliyosoma. Muhimu uyafuate vinginevyo utakula ban la maisha.
karibu saaaaana jamvini ila pia usisahau yale masharti uliyosoma. Muhimu uyafuate vinginevyo utakula ban la maisha.
N ngangali Member Nov 29, 2010 98 19 Aug 11, 2011 Thread starter #8 nashukuru sana wakuu na nahaidi ushirikiano.