OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Peter Owino mmoja wa watu waliotoa mapokezi na hifadhi kwa Watanzania wengi waliokwenda kusoma uingereza toka miak ya 1990 amevamiwa na majambazi maeneo ya Nzega alikuwa anasafiri akiwa na mke wake na watoto wawili wa miaka 2 na mwingine miezi tisa na wote kukatwa na mapanga vibaya
Ndugu Owino anaishi uingereza na amewasili juzi akiwa likizo fupi kuelekea Nyumbani Sota (shirat )RORYA
Tumwombee Nafuu ya haraka
Ndugu Owino anaishi uingereza na amewasili juzi akiwa likizo fupi kuelekea Nyumbani Sota (shirat )RORYA
Tumwombee Nafuu ya haraka