ulanzi mtamu
Senior Member
- May 19, 2012
- 102
- 11
Habari wana jamvi, habari njema toka chanzo cha ndani cha tanesco ni kwamba tanesco inataraji kumwaga ajira lukuki mnamo mwezi januari 2014, hii ni kutokana na kuwapunguza kazi watumishi wote waliozidi miaka 50 na tayari wameshapewa barua za kuacha kazi na mwisho wao ni mwezi wa 12. NDO IVO WADAU GET READY!.