Habari njema kwa wale wanaotaka kujiajiri wenyewe

justdoit

Member
Sep 2, 2009
63
4
Kama umechoka kutafuta ajira bila mafanikio au umechoka na ajira unayoifanya kwa sasa kwa sababu ya kuamka kila siku asubuhi na kukumbana na adha ya foleni kila kukicha suluhisho hili hapa.

Kwa mtaji wa shilingi 12,000/- za kitanzania unaweza kuwa unapata zaidi ya shilingi 20,000,000/- kwa mwezi kama utafanya kazi hii kwa bidii. Unaweza kuona kama ni nzuri sana kuwa kweli, inawezekana na wapo watu wanaofanya hivyo. Huna cha kupoteza, ni sh 12,000 tu unaanza nazo. Mimi mwenyewe nilikuwa siamini lakini baada ya kujiunga na mtandao huu wa biashara naona kila kitu kama ni miujiza. Anza kujenga mtandao wako wa kipato leo. PennyMatrix.com
 
Mkuu toa details kidogo kuhusu hiyo kitu. I am checking the link and found a lot of details......Is it a networking business kama za Forever living and GNLD International??
 
Kama umechoka kutafuta ajira bila mafanikio au umechoka na ajira unayoifanya kwa sasa kwa sababu ya kuamka kila siku asubuhi na kukumbana na adha ya foleni kila kukicha suluhisho hili hapa.

Kwa mtaji wa shilingi 12,000/- za kitanzania unaweza kuwa unapata zaidi ya shilingi 20,000,000/- kwa mwezi kama utafanya kazi hii kwa bidii. Unaweza kuona kama ni nzuri sana kuwa kweli, inawezekana na wapo watu wanaofanya hivyo. Huna cha kupoteza, ni sh 12,000 tu unaanza nazo. Mimi mwenyewe nilikuwa siamini lakini baada ya kujiunga na mtandao huu wa biashara naona kila kitu kama ni miujiza. Anza kujenga mtandao wako wa kipato leo. PennyMatrix.com

Kwa hiyo unalamba Mil 20? hahahahahaahahahahaha...hata lowasa ata-jiunga.
 
Kama umechoka kutafuta ajira bila mafanikio au umechoka na ajira unayoifanya kwa sasa kwa sababu ya kuamka kila siku asubuhi na kukumbana na adha ya foleni kila kukicha suluhisho hili hapa.

Kwa mtaji wa shilingi 12,000/- za kitanzania unaweza kuwa unapata zaidi ya shilingi 20,000,000/- kwa mwezi kama utafanya kazi hii kwa bidii. Unaweza kuona kama ni nzuri sana kuwa kweli, inawezekana na wapo watu wanaofanya hivyo. Huna cha kupoteza, ni sh 12,000 tu unaanza nazo. Mimi mwenyewe nilikuwa siamini lakini baada ya kujiunga na mtandao huu wa biashara naona kila kitu kama ni miujiza. Anza kujenga mtandao wako wa kipato leo. PennyMatrix.com

Ebu acheni kuchezea akili za watu bhana,,,,
Wewe unapata hizo milion 20 kwa mwezi,,?
Na kama ndiyo basi waambie ndugu zako wote wafanye hiyo biashara!
 
hakuna anye mfudisha nyoka kungata ni juhudi yako tu, fanya kazi kwa bidii za uzalishaji mali hizo fedha za ajabu ni hatari sana kwa maisha yako na familia nzima..
 
Kama umechoka kutafuta ajira bila mafanikio au umechoka na ajira unayoifanya kwa sasa kwa sababu ya kuamka kila siku asubuhi na kukumbana na adha ya foleni kila kukicha suluhisho hili hapa.

Kwa mtaji wa shilingi 12,000/- za kitanzania unaweza kuwa unapata zaidi ya shilingi 20,000,000/- kwa mwezi kama utafanya kazi hii kwa bidii. Unaweza kuona kama ni nzuri sana kuwa kweli, inawezekana na wapo watu wanaofanya hivyo. Huna cha kupoteza, ni sh 12,000 tu unaanza nazo. Mimi mwenyewe nilikuwa siamini lakini baada ya kujiunga na mtandao huu wa biashara naona kila kitu kama ni miujiza. Anza kujenga mtandao wako wa kipato leo. PennyMatrix.com

jitetee bana mzee, tunakuwait!!!!!!!!!!! plz funguka bana ndugu watu wale 20,0000/= m t.sh. wanakiu sana na maela.
 
wakuu nimejaribu.....kilichonikuta mungu anajua na wewe mkuu uliyeweka tangazo hili please waambie ukweli ndugu zetu sio unawadanganya,watanzania wenzangu mi nimetapeliwa tayar kama laki mbili kwa kutumia card yangu ya CRDB mastercard,pumbav sana hawa jamaa!
 
Baelezee batu bana unataka kuuza maneno na kuyaacha hewani wakati tunataka
kupiga mawe fasta tuendeshe madude rod
unafanyaje ni kwa mganga au ni live tu?
 
wakuu nimejaribu.....kilichonikuta mungu anajua na wewe mkuu uliyeweka tangazo hili please waambie ukweli ndugu zetu sio unawadanganya,watanzania wenzangu mi nimetapeliwa tayar kama laki mbili kwa kutumia card yangu ya CRDB mastercard,pumbav sana hawa jamaa!

pole mkuu, so kumbe bola desi/tumaini kuliko awa jamaa. basi mapimbi kinoma.
 
Back
Top Bottom