Habari njema kwa Contractors..na wote wanaohitaji Mikopo kufund Projects

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Mkopo kwa ajili ya kufund Contractors Projects (both zinazoendelea na zitakazotokea) inapatika kwa haraka (within 2 weeks to 1 month) kutoka International Commercial Bank. Cantact me thru 0756-517588 or 0652-590519. Thanx.
 
usiseme ivyo ndugu, rate za commercial banks zote tz zina kua set na Bot...hivyo basi riba zetu zina range in between 19 an 24%..

Mkuu hapo ndo tatizo lililopo kwenye riba. Katika construction industry kwa kazi ambazo umetender na kupata kihalali huwezi kuweka faida zaidi ya 25%. Hivyo kama contractor mtamtoza hata 24% ina maana at maximum anategemea yeye abaki na 1% profit of the project. This is too much.
 
Back
Top Bottom