C Chief Nanga Member Aug 10, 2011 42 1 Aug 10, 2011 #1 hodiiiiiiiii wakuu mi mgeni humu.Jembe lenu naomba kuingia kilingeni.Nimewakubali wakuu.
figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,492 54,895 Aug 10, 2011 #3 habari zetu nzuri.habari yako baaaana...!!??karibu sana.
First Born JF-Expert Member Jul 11, 2011 5,310 1,473 Aug 11, 2011 #7 pita ndani mheshimiwa ushauri wangu, hapa tuko chini ya sheria, ukivuruga tu... Ban.
Baba Collin JF-Expert Member Aug 1, 2011 456 58 Aug 11, 2011 #8 Timba tu moja kwa moja ila uwe na break.vinginevyo ni ban.