Gwajima Lisha kondoo NENO: Je ni wapi ktk Bibilia Mungu amehalalisha VISASI kwa Mtu kutuhumiwa?

Huna akili kabisa, Tanzania unahitaji watu kama Gwajima angalau hata 10 tuu, utoto u to toa unoendelea hapa nchini ungeisha, kwahiyo kiss yeye ni mchungaji ndio Hana haki yakuongea ukweli ambao watu wengine wameshindwa kuongea kwa uoga wao, tumepata mtu jasiri na mwenye akili timamu badala ya kujivunia wewe unaongea kama mnafiki, Gwajima katokea mbinguni wewe yule sio kama wale wala usimfananishe na wale. Swala la Bashite bado kabisa hadi tuone hatima yakudanganya umma nakuwarubuni maraisi wawili waamu mbili kuwa yeye ni Paulo wakati yeye ni daudi, hili swala sio jepesi kama akili zako zinavyokutuma. Kabla hujampuuza mtu jitasmini kwanza akili zako zinakutosha mwenyewe au zinakutosha pamoja na jamii?
Out of context
 
Ningekuona wa maana kama ungeli mwambia Daudi Albert B. yule aliyesoma shule ya msingi Koromije, afanye bidii kuonesha vyeti vyake haraka kwani watu wanamvisia, akitia mguu tu, wanaanza kuulizia vyeti.
Muosha, huoshwa. Aliwavimbia wafanya kazi wenzake kweli kweli kuwa bila cheti ajira imeota mbawa. Hakuna uovu kama huo; Kumdai mwenzio usichokuwa nacho. Daudi ili kuonesha kuwahurumia watu angekuwa wa kwanza kupinga kuonesha vyeti. Lakini, yeye ndo wa kwanza kabisa kujigamba kumtimua yeyote atakaye gairi kuonesha cheti chake. Utadhani yeye mwenyewe anacho.
Tumuombe rais atuulize hadharani; Nimtumbue nisimtumbue Daudi wenyu?? Jibu tushaandaa tiyari; Mutumbuyeeeeeeee.
Nje ya mada.
 
Mimi mwenyewe,nitawalisha kondoo wangu,nami nitawalaza,nitawafunga waliovunjika na waliodhaifu nitawaongoza kwa upole,asema Bwana.Gwajima ni msaka tonge wa mjini tu hujiulizi kwa nini hana kanisa kolomije?anajua hakuna sadaka kule.
 
Bashite ni mjinga kweli kweli, alikuwa anafikiria nini kumchokoza Gwajima, ngoja alipuliwe tuu adi atie adabu!
 
Gwajima anahubiri UONGO na WIZI wa Davidi Malyagili KUWAONYA wasikilizaji wake dhidi ya tabia hiyo mbaya (ili wasiyatende hayo katika maisha yao). Huu ni wajibu wa Kiongozi kwa anao waongoza...
 
Wewe unataka aongelee wapi? Je umechangia Sh ngapi ujenzi wa kanisa? Je bashite alipomtuhumu na kumlaza ndani unafaham ameumia vipi na kuchafuliwa kote, sasa muache ni zamu yake, suruhu weka vyeti mezani acha maneno
 
Acha ujinga wewe,

Yesu mwenyewe alikuwa mwanaharakati wa kweli, aliisimamia kweli na kuitetea hata kupelekea kusulubiwa,

Tunahitaji watu aina ya Yesu, na sio makanjanja
 
Wewe unataka aongelee wapi? Je umechangia Sh ngapi ujenzi wa kanisa? Je bashite alipomtuhumu na kumlaza ndani unafaham ameumia vipi na kuchafuliwa kote, sasa muache ni zamu yake, suruhu weka vyeti mezani acha maneno
Gwajima hakudhalilishwa alikuwa anasaidiwa ili apunguze au aepukane na Madawa ya kulevya, ni hatari. Mimbari kamwe SIYO mahala pa kuongelea siasa. Gwajima hana kanisa, kanisa ni Mali ya waumini kama hufahamu, hata Usajiri unasomeka mmiliki ni Waumini wa kanisa La Ufufuo na Uzima, na Mimi mchango wangu ktk kulijenga like La Dsm nimeshiriki. Labda wewe unayeshoboka bila hata kumfahamu Gwajima, sisi anayetuongoza ndiyo tunaomfahamu, na ndiyo tunaoumia na kukosa mahubiri mazuri ya kiroho ambayo kwa Karama aliyo nayo Much. Gwajima hutupatia. Kwetu sisi Gwajima ni Mwl wa kiroho kuliko wewe unavyomchukulia. Lakini tunatambua kuwa yeye ni binadamu na anahisia kama binadamu yeyote Yule, na aliumia kutona na sakata La mihadarati, lakini binafsi nisichokubaliana naye ni huu utaratibu wa kutumia mimbari takatifu kumshambulua au kumtaka Rc Makonda kuthibitisha ufaulu wake au Elimu yake, Gwajima naamini anafahamu fika kuwa Mwajiri wa Gwajima ni nani, ni bora amfuate.
 
Ili kummaliza Gwajima Bashite atoe vyeti ...Hakuna cha mamlaka ya utezi wala nn...mwambieni atoe vyeti mbona sisi tuliitishwa vyeti zaidi ya mara tatu tukapeleka. NIDA sio mwajiri wetu lakini mbona alituomba vyeti tukapeleka?...Bashite aweke vyeti acheni mbwembwe.
 
Gwajima anaweza kuigeuza mimbari takatifu kuwa jukwaa La kisiasa? Je kwenye mimbari takatifu huwa tunatangaza siasa na uhalali wa vyeti vya mtu?
Kwani hiyo mimbari ni ya Chato, au Koromije, ya CCM, au ya Gwajima?
 
Gwajima hakudhalilishwa alikuwa anasaidiwa ili apunguze au aepukane na Madawa ya kulevya, ni hatari. Mimbari kamwe SIYO mahala pa kuongelea siasa. Gwajima hana kanisa, kanisa ni Mali ya waumini kama hufahamu, hata Usajiri unasomeka mmiliki ni Waumini wa kanisa La Ufufuo na Uzima, na Mimi mchango wangu ktk kulijenga like La Dsm nimeshiriki. Labda wewe unayeshoboka bila hata kumfahamu Gwajima, sisi anayetuongoza ndiyo tunaomfahamu, na ndiyo tunaoumia na kukosa mahubiri mazuri ya kiroho ambayo kwa Karama aliyo nayo Much. Gwajima hutupatia. Kwetu sisi Gwajima ni Mwl wa kiroho kuliko wewe unavyomchukulia. Lakini tunatambua kuwa yeye ni binadamu na anahisia kama binadamu yeyote Yule, na aliumia kutona na sakata La mihadarati, lakini binafsi nisichokubaliana naye ni huu utaratibu wa kutumia mimbari takatifu kumshambulua au kumtaka Rc Makonda kuthibitisha ufaulu wake au Elimu yake, Gwajima naamini anafahamu fika kuwa Mwajiri wa Gwajima ni nani, ni bora amfuate.

Mshauri Bashite atoe vyeti aepushe Mimbari kutumika ndivyo sivyo
 
Kwa hoja Hii kichwa chako ni empty set
 
Back
Top Bottom