Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Kama we ni GT hapa JF utaelewa nilichoandika kipo wazi sana hata kwa mtoto wa chekechea ataking'amua.

Ila ngoja nikurahisishie maana hamna namna, " kwa wale waliojazwa dini zilizoletwa na meli na majahazi" soma tena utaelewa tu polepole
 
?
Waumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!

Sasa tumechoka!
Umechoka wewe na nani?
 
Hapana nadhani ilijiandika vibaya nilimaanisha yeye Gwajima yuko tayari kufa.


Aiseee, kumbe ameisha fikia hatua ya kujitoa mhanga, such dangerous!!:eek::eek::eek:

Any way biblia yake inasema, Aheshimu mamlaka sasa sielewi kabisaaa .
 
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?

Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?

Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.

A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.

Lawwd hammercy!!
Najua unamtetea huyo mtu wako wa ajabu ajabu tu
 
Hata yesu mwenyewe alipokuta sehemu ya ibada imeanzishwa soko alizua mtiti
 
Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Na kuufumbia unafiki wa Bashite ndiyo vitawapeleka, Mbinguni?
 
FA . ameimba unafata yasiyo kuhusu kaungane nakina mama.mchungaji achunge kondoo wasipotee
 
Najua unamtetea huyo mtu wako wa ajabu ajabu tu
Usishangae ndugu yangu...lazima tu atetee. Huyo ndiye Nyani Ngabu...fikiria Marekani anakodai kuishi miaka mingi, gavana wa jimbo atuhumiwe kwa kashfa kama hii ya kughushi jina halafu watu wakae kimya ha ha haa! Rais Obama mwenyewe ilibidi aanike cheti chake cha kuzaliwa kwa tuhuma tu za mpuuzi moja.
 
Jamn duniani samehe Mara saba sabini,namkubali sana mchungaji Gwajima,lakini baba chonde chonde tunaomba umsamehe Makonda wewe ni mchungaji usimpige mpaka akapotea
Jamani simpendi mtu kama Bashite lakini Gwajima anamuumbua jamani,tunaomba umsamehe askofu hajua alitendalo tafadhali,tunaounga mkono Bashite asamehewe tunaomba mtoe neno askofu gwajima alisome tunajua yuko hapa
Nawasilisha wadau michango yenu nahitaji tumuokoe bwana mdogo asamehewe
Aombe huo msamaha yeye mwenyewe. Gwajima amempa siku tatu hajaomba msamaha, unataka afanyeje? Kama ni dharau atayaona mbele kwa mbele. Wakati anamtuhumu alimchukulia kama Askofu mtumishi wa Mungu? Leo mnaoomba asamehewe mbona hamkumwambia amekosea kumtuhumu Gwajima?
 
Gwajima una bahat sana mi sio Makonda. Upuuzi unaofanya ningekuwa RC na serkali ndo ungejua maana ya utawala. Unajarib kushika sharubu za simba kisa amelala. Kuna uwezekano ndo unajipoteza mazma na mirija ya kupatia za mkate wa kila siku ikakatwa kwa njia ambayo hutaamini milele. Rudi nyuma kidogo upate kuishi vizuri katika upigaji wa kikanisa.
Huo ndiyo ujinga usiotàkiwa. Wacha asonge mbele, brand ameijenga miaka mingi na kubomolewa na mtu kwa sekunde tuu, haikubaliki. Gwajimaaaaa, goooo, gooooo...
 
Sidhani kama kuna siku huyu gwajima atafundisha somo la kusamehe. Wapentecoste ninauhakika hawajajengwa kwa misingi hiyo. Neno samehe limeondoka kinywani mwa kuhani. Neno kisasi ni juu ya Mungu hasa ktk majira haya halina thamani tena mbele ya kuhani. Je...ndo kusema nyakati za mwisho? Simtetei bashite ila nawaza kimya kimya...
 
Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
7×70? This is nonsense,imepitwa na wakati hii. Iko 2000 years behind time! Ingeapply only during the lifetime of Jesus Christ, not now. I am going to bring David Bashite down to his knees. Sipendagi ujinga mie
 
Huo ndiyo ujinga usiotàkiwa. Wacha asonge mbele, brand ameijenga miaka mingi na kubomolewa na mtu kwa sekunde tuu, haikubaliki. Gwajimaaaaa, goooo, gooooo...
Swala kujenga Brand kwa siku nyingi sio hoja haswa kwa mtu kama Gwajima nakumbuka alimtusi na kumsema kwa zarau Asikofu pengo asikofu msomi mwelewa mjuaji mwenye khofu ya mungu lakini pengo hakumjibu na wala hakushughurika nae leo vp Gwajima ajione kuwa yeye ni msafi zaidi ya malaika asemehe kama alivyokasemehewa yeye na pengo
 
Nimesikia hata Manji amepata nafuu baada ya kusikia mtu mzima kabanwa kwenye kona.
 
Anayoyafanya hata Kama yu upande wa shetani bwana yaja kumuonesha kuwa ni muweza nmesema '
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom