GUNINITA: Simuachi Makonda pamoja na u-DC wake, Kortini lazima

hivi mkondo wa sheria ni upi?

Unaanzia polisi, ambapo unapeleka malalamiko ya kuchafuliwa/kuibiwa/kupigwa n.k then unaelekea kwenye upelelezi ambao utasaidia kukusanya ushahidi, baada ya hapo mkondo unaelekea mahakamani ambapo hakimu atathibitisha kwamba kwa ushahidi ulioletwa mbele yake kosa limefanyika kwa mujibu wa sheria zetu mbalimbali...na mwishowe mkondo huo utaishia magereza ambapo mhusika aliyebainika kavunja sheria anafungwa!! Huo ndio mkondo wa sheria mkuu...tehe teheee.....
 
- Hivi Chadema mgombea wenu wa Urais ni nani hasa maana hawa wa CCM wanapelekesha mbio sana vipi kwenu au?

Le Mutuz

Wakati ukifika vikao vitaamua. Tuliza mpira Le mutuz, huyo atakaye pendekezwa wewe mwenyewe utampenda.
 
Mbona sasa haendi mahakamani?

kweli bwana mbona akwendi kushtaki then sheria ichukuwe mkondo wake....Pole nasa Ben Saanane kwa ajali uliyopata na hata kupoteza marafiki wapumzike kwa amani ya Bwana mbaka siku ya majirio ya ufufuo wa uzima wa milele.

upone mapema na haraka ndugu.
 
unaanzia polisi, ambapo unapeleka malalamiko ya kuchafuliwa/kuibiwa/kupigwa n.k then unaelekea kwenye upelelezi ambao utasaidia kukusanya ushahidi, baada ya hapo mkondo unaelekea mahakamani ambapo hakimu atathibitisha kwamba kwa ushahidi ulioletwa mbele yake kosa limefanyika kwa mujibu wa sheria zetu mbalimbali...na mwishowe mkondo huo utaishia magereza ambapo mhusika aliyebainika kavunja sheria anafungwa!! Huo ndio mkondo wa sheria mkuu...tehe teheee.....
nashukuru kwa elimu mzuri
nina mashaka kama mkondo huu
unafuatwa sawasawa
hasa hapo pa kuanzia,kuna maumivu mengi.
 
Hatujui nani ni nani ngojeni vumbi litulie hata hivyo kama historia huwa ina tabia ya kujirudia mgombe wa mwenekiti hakupita awamu zote!
 
DVbqjqDWkAAAT3t-620x309.jpg
aa.jpg
 
Back
Top Bottom