Gudnyt all!!much luv

Hivi kesho asubuhi hii thread si itapelekwa thrash?
Usiku mwema na wewe pia kaka.
 
Ikifikifika usiku inarudishwa tena usiwe na wasi mwaya
byeeee wakomoro wanasema ""namlala unono"""
 
Pdidy banah, ujue umenikumbusha enzi hizo ndo naanza malavidavi na shemejiyo, basi hivyo viua ua daily kwa phone yangu na gud nyt za kumwaga, leo tushazoeana mambo ya viua kushney! Kweli old is gold!
Gud nyt! Nakumbushia!
 
pdidy banah, ujue umenikumbusha enzi hizo ndo naanza malavidavi na shemejiyo, basi hivyo viua ua daily kwa phone yangu na gud nyt za kumwaga, leo tushazoeana mambo ya viua kushney! Kweli old is gold!
Gud nyt! Nakumbushia!
hayo ndio matatizo yetu unajua hata ukisoma kwenye biblia adamu alipokula lile tunda usiniulize lipi akawa uchi akuna sehemu aliomba samahani..so hii ni kaspirit tunaenda nacho mpaka ugundue
geuka bana mpe samahani umpige na ka suprise usiku huu mpwa ..m nina keki inatoka ""rombo mashati""na dar express 13 feb imeandikwa aikaruwa nasubiri kumpa sup mke wangu valentine
wewe??
 
Binafis nilikuwa mpenzi wakadi kweli kwa mama kabla ya nanii basi ikitokea sio kugombana kupishana maneno akiona nimekasirika nikienda sebuleni nikirudi chumban nakuta kasambaza kama 10 hivi aisee nikisoma nachekaa maisha yanaendelee akiingia kama nilipanga viwili unashangaa mpaka 4 vya sup ...so kama jamani mnapewa hizo kadi tunzeni mkioana mwenzio akianza kuwasha moto zimwage kitandani nakwambia mwenye akili anajirudi maramoja ukifikiria ulinunua kadi benjamini mkapa watu wanaweka hadi garama za tiles unayokanyagia weeeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom