Green Card Makulilo Lottery

Yaani hawa wa kujaziwa form

Ni mzungu. Wewe ndo huna akili.Yani wewe baki tu Africa kwa uelewa wako huu zero brain US utaishia kula unga tu na kwenda kwenye clubs. Mtu yeyote mweupe ni mzungu then kuna wazungu wafaransa,wazungu wamarekani,wazungu waingereza,waitaliano n.k.
Bado wazungu waarabu, wachina😃😃😃
 
Yaani hawa wa kujaziwa form

Ni mzungu. Wewe ndo huna akili.Yani wewe baki tu Africa kwa uelewa wako huu zero brain US utaishia kula unga tu na kwenda kwenye clubs. Mtu yeyote mweupe ni mzungu then kuna wazungu wafaransa,wazungu wamarekani,wazungu waingereza,waitaliano n.k.

wewe wadanganye wajingawajinga wenzako

kwa taarifa yako sipo africa , pia sina mpango wa kucheza hiyo dv lottery ya USA,
Ila siwezi mkatisha tamaa anayetaka kucheza hiyo bahati nasibu.
Sasa wewe unakuja na manegativity yako for what .
 
Sasa na yeye si angecheza the bahati nasibu ? Ila akachagua the easy way kuoa mzungu mwenye obesity.
unajuaje kama hakuwahi kucheza? Hiyo ni bahati nasibu sio kila atakayecheza anapata,
Inawezekana ana roho ya kuwasaidia vijana watakaobahatika kushinda washinde ila acha kukosoakosoa vitu ambavyo vipo wazi
 
wewe wadanganye wajingawajinga wenzako

kwa taarifa yako sipo africa , pia sina mpango wa kucheza hiyo dv lottery ya USA,
Ila siwezi mkatisha tamaa anayetaka kucheza hiyo bahati nasibu.
Sasa wewe unakuja na manegativity yako for what .
Yaani wewe ndo zoba kweli. Hapo Wikipedia mtu yeyote anaweza aandika. So kwa akili yako wenye uraia wa US wale weupe si wazungu ?
 
Yaani wewe ndo zoba kweli. Hapo Wikipedia mtu yeyote anaweza aandika. So kwa akili yako wenye uraia wa US wale weupe si wazungu ?

wewe ni kilaza pro maximum

"People from the United States of America are known as and refer to themselves as Americans. Different languages use different terms for citizens of the United States. All forms of English refer to US citizens as Americans, a term deriving from the United States of America, the country's official name."

weupe kule wengi wanajulikana kama white americans, kuna hispanic americans, kuna indian americans
 
Wenye 18 mpaka 25 yrs old acha waende
Sisi wenye 30+ na tuna watoto tuna shughuli zetu bongo. Siwezi cheza greencard. Kwanza kwenda kuishi kwa mtu mpaka usettle wakati hapa Mbweni ninaishi kwenye gorofa langu. Aku babu wewe .Maisha bongo ninaishi poa kabisa .Wanangu wanasoma Heaven of peace academy. USA mimi ninakwenda vacation tu.
Kama unakaa Mbweni kwenye mghorofa haina haja ya kwenda USA kutafuta life wakati tayari ushayapatia....Wasalimie majirani zako kina Lugumi na Samia.
 
Umeshawahi ingia You tube kucheki videos zake huyu EBM Makulilo? Au unaleta chuki zako hapa?? Tatizo unaongea Vitu bila kuwa na uhakika navyo! , AFRIKA ina watu walio laaniwa kwa chuki na wewe ni mmoja wao ..kuliko kumpa msaada Mwafrika bora umpe mbwa atakushukuru.jamaa kaeleza kila kitu kuhusu mazuri na mabaya ya Amerika lakini kutokana na wabongo ni wanafiki hawafuatilii vitu wana kurupuka na chuki zao kuponda watu..huona kila mtu ni mbaya...
Huyu makulilo nayemjua mimi aliyesoma UDSM mweusi mfuga miafro maneno mengi?
 
Jamaa anatambaa na fursa hii ya kuchanja 20,000/= kumsaidia ku-apply imemshushia thamani zaidi. Kama angekua kweli ana Nia ya nn kuokota senti za vijana?
Wabongo tunapenda mtelezo Sana, jamaa katoa muda wake kingine charge ufanya kuengua watu wasio seriasi kujiengua mara moja, ila siku zote jambo zuri lolote lazima ukubali kurigharima mkuu
 
Hivi kwa Mfano ukishakuwa permanent resident wa nchi nyingine,unakosa vitu gani au unapungukiwa sifa zipi za ki raia?
Dv lottery ni kwa wahamiaji kupewa fursa ya kuishi US kama raia wa US, na uraia wako unabaki pale pale, ila kama utataka kubadili uraia ni uamuzi wako
 
Tatizo wengi akili zimeamia makalioni. Binafsi anachofanya EBM Scholar nam support kabisa na jamaa ni mzalendo anajua changamoto za wabongo wengi ktk ujazaji wa form za kizungu ndo maana amejitoa yy na kundi lake kusaidia.
EBM Scholar anasaidia vijana. Sisi ambao umri umeenda acha tukae pembeni kwanza.

Ila idea yake ni nzuri. Na mnaoshangaa kwa nn anachukua hiyo 20k Hvi mlitaka kweli akusaidie kujaza fomu na kukupiga picha Bure??
 
Wenye 18 mpaka 25 yrs old acha waende
Sisi wenye 30+ na tuna watoto tuna shughuli zetu bongo. Siwezi cheza greencard. Kwanza kwenda kuishi kwa mtu mpaka usettle wakati hapa Mbweni ninaishi kwenye gorofa langu. Aku babu wewe .Maisha bongo ninaishi poa kabisa .Wanangu wanasoma Heaven of peace academy. USA mimi ninakwenda vacation tu.
Hongera kwa kuwa na maisha mazuri Victoire

Vema usikatishe tamaa wengine wasio na ghorofa kama ww wanapokuwa kwenye mchakato wa utafutaji.

Bali jitahidi kutoa msaada hata wa mawazo ili sote tuweze kusonga mbele.
 
Wenye 18 mpaka 25 yrs old acha waende
Sisi wenye 30+ na tuna watoto tuna shughuli zetu bongo. Siwezi cheza greencard. Kwanza kwenda kuishi kwa mtu mpaka usettle wakati hapa Mbweni ninaishi kwenye gorofa langu. Aku babu wewe .Maisha bongo ninaishi poa kabisa .Wanangu wanasoma Heaven of peace academy. USA mimi ninakwenda vacation tu.
Hivi ukiwa na cash kama dola elfu 20000 si unapata visa ya kwenda kutembea Us
 
Back
Top Bottom