Green card - does it worthy to apply for one? Fuatilia hapa!!

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
http://www.youtube.com/watch?v=6_nAuzrPI8o
Kama umeshind green card; fuatilia hapa chini kabla hujafanya maamuzi yoyote. Citizen Tv ya Kenya wameenda extra mile katika kuwaelimisha wadau wenye ndoto ya kwenda kuishi 'unyamwezini'

Citizen TV Kenya:

It is the dream of many Kenyans to work and live in the United States of America and one of the ways through which you could find your way there is through the green card lottery. But before you embark on the application process, have you ever asked yourself whether it is worth it or not? Alex Chamwada brings us the experiences of the green card holders

http://www.youtube.com/watch?v=6_nAuzrPI8o
 
Nimeisoma. Hii inafaa kuangaliwa sana na vijana waota ndoto waliopo Afrika ambao siku zote wanawaza kwenda kuishi Ulaya na Marekani, bila kufikiria kwamba Ulaya na Marekani nako kuna kadhia zake.
Thanks for this post man.
 
Back
Top Bottom