S saruni Member May 5, 2010 5 0 Oct 10, 2011 #1 natafuta graphic designer mwenye uzoefu na viwanda vya printing. wasiliana na no. 0652 046 289.
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Aug 9, 2007 18,697 8,843 Oct 10, 2011 #3 part time/ full time? ni pm kama ni part time!
peri JF-Expert Member Mar 22, 2011 2,579 1,164 Oct 10, 2011 #4 Yupo mwenye uzoefu wa miaka 4 kwenye magazeti na magazine. Part time inakubalika?
S saruni Member May 5, 2010 5 0 Oct 11, 2011 Thread starter #5 sio part time, anatakiwa aajiriwe full time, sio lazima uzoefu mwingi lakini walau kidogo kwenye printing factory
sio part time, anatakiwa aajiriwe full time, sio lazima uzoefu mwingi lakini walau kidogo kwenye printing factory