Mkereketwa
JF-Expert Member
- May 19, 2007
- 202
- 25
Haa haaa kweli sheria za bongo kituko kitupu. Kuna katuni moja ilichorwa na Kipanya ikieleza kuwam mtu anakuwa Waziri, Mbunge na mjumbe wa NEC ya CCM. Yaani mtu huyo atunge sera, azitekeleze na kujihoji mwenyewe, hiyo ndiyo Tanzania mazee.