Govenor wa BOT nae yupo kwenye kampeni?

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Kampeni zilipoanza tu thamani ya TShs ilianza kuporomoka dhidi ya USD na Euro haijarudi tena.Hii inaashiria nini?Governor yupo kwenye kampeni au ni nini?Ameshinda kuishauri serikali?Kuagiza vitu nje imekua ni garama sana,unahitaji TShs nyingi kupata forex chache sana.Au upungufu wa forex ni kutokana na uagizajia wa mabango ya kampeni kutoka nje yakamaliza USD na kuzifanya zipande?Sasa je kwa nini asijiuzulu kwa kushindwa kazi?
 
hopeless gavana,huyu jmaa anatokea ifakara kwenye bonde bikira la kilombero,hata huo mfumuko wa bei tungeweza kuhimili kwa kuwa na utegemezi wa chakula cha ndani na ongezeko la mauzo ya nje ya kilimo,sijui kama amewahi kuishauri serikali kwamba kwao kuna bonde bikira?
 
Tshs iko overvalued kwa nuda mrefu sana. Bora ishuke ifikie thamani yake halisi.
 
Back
Top Bottom