Gov Fl aona baada ya kushtukiwa ni Gay

1. Mods, hii ihamishie international forums

2. U shabiki wa nani gay kafanya nini, (kwangu mimi) naona haunisaidii sana, wala hauisaidii jamii ya Tanzania, nikujua rais fulani au mtu fulani gay, sitamsaidia mtanzania wa nzega, gezaulole, ambao wanahitaji maji ya kunywa, barabara, hospitali nzuri .n.k, wameshaendelea hawa, wanazo fedha , wameendelea kiasi cha kufanya hayo! ikifika zamu yetu tutaongea

ni yangu tu

waberoya
 
Utamaduni wa kisenge kaeni nao huko huko ulaya ,sisi huku mambo ya ugali na maharage bado yanatukwaza!!
 
Wataka kusema USENGE haupo au haufanyiki Tz?

True True i second you Himawari...
Apparently All who don't want to talk about this are either on denial meaning down low...yes that is the fact you can eithe rtake it or leave it.

Besides Gays are human being and have feelings just like you or me,I don't see a reason to ignore them period.
 
Back
Top Bottom