Khali si hali ndugu yangu. Njaa kali.
Ndugu yangu, jana kijiwe hakikuchanganya...NJaa kali wakati unajisosomola na haramu ya mmasai?
Oups! Sorry nlishasahau kumbe huu mwezi wa toba. Vigezo na masharti kuzingatiwa..Hivi we @ asprin ujue mwezi mtukufu huu? Lahaula lakwat! Astaghafirural asthaghafirural.
Mumeo niko gado, sema ulabu wa jana ndo unaniletea hangover.... Morning My Sugar!!khaaaaaaaaaaaaaa! mume sina wallah, morning chit chatters!
morning to u too my hubby! lol, sasa nitapata kweli dozi yangu leo?? kama ulipombeka hivyo?? lol!Mumeo niko gado, sema ulabu wa jana ndo unaniletea hangover.... Morning My Sugar!!
Usijali laaziz, leo kama kawa!!morning to u too my hubby! lol, sasa nitapata kweli dozi yangu leo?? kama ulipombeka hivyo?? lol!
wantamanisha ujue! lolUsijali laaziz, leo kama kawa!!
tamuje thatha? leo tena bby wangu lol!
wantamanisha ujue! lol