Good Example for African Leaders

leipzig

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
2,767
1,703
119439_01_x_20130403182120(1).jpg

[h=1]UK, Prime Minister David Cameron failed to find a seat on public transport (Train) and stood to his all the way..while going to work...[/h]
 
Yeah David Cameron wakati mwingine huwa anatumia Baiskeli kwendea kazini wakati hapa mtalii wetu au mkewe kwenda msikitini si chini ya gari nne,kweli ni gharama sana kuwa masikini,watu walisema
 
Tukubali tukatae hawa ndio wazungu, akikosa kuchaguliwa hang'ang'anii madarakani kwa vile ana maisha aliyoyazoea wakati wote.
 
Kwa africa ni pamoja na usalama wao, Fikiria mkuu wa kaya ana baiskeli wakati anaenda kazini anakutana na m4c!!!!
 
Yeah David Cameron wakati
mwingine huwa anatumia Baiskeli kwendea kazini wakati hapa mtalii wetu
au mkewe kwenda msikitini si chini ya gari nne,kweli ni gharama sana
kuwa masikini,watu walisema

Kwa hiyo na huyu wetu unataka awe anatumia baiskeli? Je, kile kifafa chake kikimpanda itakuwaje? Mwacheni jamani, mtu mwenyewe mgonjwa...
 
Kwa hiyo na huyu wetu unataka awe anatumia baiskeli? Je, kile kifafa chake kikimpanda itakuwaje? Mwacheni jamani, mtu mwenyewe mgonjwa...

Daaaah MD25 umenivunja mbavu zangu, wamwache mzee wa Fastjet jamani!! nasikia magogoni imehania Airport, kazi kwelikweli hapo.
 
anaogopa atachafuka akikaaa si unajua hamna breki kule kukishatumika hahahaahahhahaa kama sio mimi nimeandika vile du!
 
Mnafiki huyu mjinga sana...hawa wezi tu nyie mnawashabikia watu wajinga wauaji kama huyu Cameroun
 
Back
Top Bottom